Nifanyaje kumpata binti ambaye ni maarufu?

Hao uliowataja watatu wana ngoma
 
Mm namtamani yule video queen wa kwenye nyimbo ya "yatapita" ya Diamond Platnumz, nimetamani lile paja, mguu, na rangi yake ya ngozi amadala Victoire To yeye Fastaaa
Kacheck post zake alivyokuwa anafanyia song release atakuwa kamtag vixen wake kuwapa urahisi, andaa pesa yako na Mimi nimekuandalia Panadol za Kenya
 
Tayari huyo ni positive,tena juzi kati alijichanganya akaweka majibu yake mistali miwili yote imereact .Baadae alishtuka akafua faster.
Hivi watu huu ugonjwa wanauchukuliaje? Hawauogopi au? Yaani ni kama mchezo hivi leo mzima kesho nimeupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…