Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku-experience.
Ilikua ndo mara yangu ya kwanza. Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa mwili mzima.
Actually niliiona dunia kwa namna isiyo ya kawaida. Tangu hapo nilirudia tena na tena lakini sasa n mtu mzima sioni tena ule msisimko nafika mshindo wa kawaida saaana. Had si enjoy
Huwa nawaza nawezaje nikapata mshindo mkubwa. Je, kuna dawa, au kitu nifanye?
NB: Sina tatizo la nguvu za kiume