Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mambo ya madawa kwenye ishu za mapenzi huwa napinga Sana kwasababu zinalemaza.Mimi nnayo dawa, mshindo ukipata unadumu dakika 3 kabla haujakata, ni dawa ya kimasai, nzuri mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya madawa kwenye ishu za mapenzi huwa napinga Sana kwasababu zinalemaza.Mimi nnayo dawa, mshindo ukipata unadumu dakika 3 kabla haujakata, ni dawa ya kimasai, nzuri mnoo
[emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa muongo Sana.Kula vyakula vyenye mafuta mengi mfululizo ndani ya mwezi mmoja alafu ukapige bao kama hujapiga kelele za furaha hadi majirani wakaja kukuokoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duniani tunatofautiana aisee
wakati wengine tunahangaika kusaka "fedhwa" wengine wanasaka "vishindo"
Ndio mrejesho wako huu? Karudie tena.[emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa muongo Sana.
Naam..Kumbe huwa mnaenjoy hivo hadi kuhisi kuzimia duh😀😀
Kajaribu na za kina gigi money unaweza kukutana na jambo jipyaTendo la ndoa ni tamu na ajabu sana likifanywa na ambae yupo pure/ hajawahi kufanya kitendo hicho. Ili uendelee kupata ilikupasa usifanye tena mpaka uoe maana kufanya na mkeo tuu bado in utakatifu, kwahiyo roho was Mungu atakuwa kati yenu na kuendelea kulihuisha kila Sikh mpka siku mtakapotengana.
Mfano mm kila siku naona ni kama siku ya kwanza coz sijawahi kutoka nje ya ndoa na mwanamke wangu ni huyo hiyo mpka nikamuoa. Usiniulize kama nilimkuta bikra au lah
Iko hivyo kwa wengi.Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku-experience.
Ilikua ndo mara yangu ya kwanza. Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa mwili mzima.
Actually niliiona dunia kwa namna isiyo ya kawaida. Tangu hapo nilirudia tena na tena lakini sasa n mtu mzima sioni tena ule msisimko nafika mshindo wa kawaida saaana. Had si enjoy
Huwa nawaza nawezaje nikapata mshindo mkubwa. Je, kuna dawa, au kiitu nifanye?
NB: Sina tatizo la nguvu za kiume
Akipata mjuzi ladha hiyo itarudi. Usimkatishe tamaa mwenzio.... Ladha kama ile hutokaa uipate maisha yako yote. Kumbuka ile ndio ilikuwa mara ya kwanza kipizzz na hukuwahi ku~experience kitu kama hiko kabla, yaan ni mara yako ya kwanza!
Kwa hiyo sahau jombaaaa......
[emoji23][emoji23][emoji23] sema humu ndan raha sanami siku ya kwanza mwili ulitetemeka huku nacheka ,mdomo niliukunja miguu nikaikunja ,mshindo uliishia nikatoa saut kama ya mbuzi anayekata roho
ikoje hiyo kiongozi???Mimi nnayo dawa, mshindo ukipata unadumu dakika 3 kabla haujakata, ni dawa ya kimasai, nzuri mnoo