Nifanyaje kupata mshindo wa nguvu kama ule wa siku ya kwanza?

Nifanyaje kupata mshindo wa nguvu kama ule wa siku ya kwanza?

Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku experience

Ilikua ndo mara yangu ya kwanza!!
Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa
Mwili mzima!!
Actually niliiona dunnia kwa namna isiyo ya kawaida !! Tangu hapo nilirudia tena na tena

Lakiin sasa n mtu mzima cion tena ule msisimko nafika mshindo wa kawaida saaana!! Had si enjoy

Huwwa nawaza nawezaje nikapata mshindo mkkubwa je. Kuna dawa, au kiitu nifanye!!

Nb sina tatizo la nguvu za kiume
Jitahidi kuwa unakula msosi wa maana. Ukiamka umeshiba hasa.
Fanya mazoezi mara kwa mara

Punguza chips chips na chakula dizain hio
 
Tendo la ndoa ni tamu na ajabu sana likifanywa na ambae yupo pure/ hajawahi kufanya kitendo hicho. Ili uendelee kupata ilikupasa usifanye tena mpaka uoe maana kufanya na mkeo tuu bado in utakatifu, kwahiyo roho was Mungu atakuwa kati yenu na kuendelea kulihuisha kila Sikh mpka siku mtakapotengana. Mfano mm kila siku naona ni kama siku ya kwanza coz sijawahi kutoka nje ya ndoa na mwanamke wangu ni huyo hiyo mpka nikamuoa. Usiniulize kama nilimkuta bikra au lah
Be blessed.
 
Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku experience

Ilikua ndo mara yangu ya kwanza!!
Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa
Mwili mzima!!
Actually niliiona dunnia kwa namna isiyo ya kawaida !! Tangu hapo nilirudia tena na tena

Lakiin sasa n mtu mzima cion tena ule msisimko nafika mshindo wa kawaida saaana!! Had si enjoy

Huwwa nawaza nawezaje nikapata mshindo mkkubwa je. Kuna dawa, au kiitu nifanye!!

Nb sina tatizo la nguvu za kiume
.... Ladha kama ile hutokaa uipate maisha yako yote. Kumbuka ile ndio ilikuwa mara ya kwanza kipizzz na hukuwahi ku~experience kitu kama hiko kabla, yaan ni mara yako ya kwanza!
Kwa hiyo sahau jombaaaa......
 
[emoji23]
 
Msije mkaniingiza kwenye ngono jaman. Nam nmekoma kufwatilia visivyofwatika!🤣 but ipo ck
 
Sanaaa ndiyo maana mwanaume anahangaika na ngono Sana kuliko mwanamke
Ile kitu ni tamuuu hakuna mfano
Usifikiri wanahonga magar nyumba hivi hivi tuu
Aisee yani uhonge nyumba,gari kwa sababu ya starehe ya dk kadhaa tu😃heshima yenu wakuu wanaume.🙌
 
Back
Top Bottom