Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
foreplay
kama hujui googleNdo nn
Tendo la ndoa ni tamu na ajabu sana likifanywa na ambae yupo pure/ hajawahi kufanya kitendo hicho. Ili uendelee kupata ilikupasa usifanye tena mpaka uoe maana kufanya na mkeo tuu bado in utakatifu, kwahiyo roho was Mungu atakuwa kati yenu na kuendelea kulihuisha kila Sikh mpka siku mtakapotengana. Mfano mm kila siku naona ni kama siku ya kwanza coz sijawahi kutoka nje ya ndoa na mwanamke wangu ni huyo hiyo mpka nikamuoa. Usiniulize kama nilimkuta bikra au lah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],, kwamba aache kukosea heshima vitu vya maana kwenye maandishihiyo P ni herufi kubwa.
Puri
Aise siku ya kwanza ni hatariNikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku experience
Ilikua ndo mara yangu ya kwanza!!
Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa
Mwili mzima!!
Actually niliiona dunnia kwa namna isiyo ya kawaida !! Tangu hapo nilirudia tena na tena
Lakiin sasa n mtu mzima cion tena ule msisimko nafika mshindo wa kawaida saaana!! Had si enjoy
Huwwa nawaza nawezaje nikapata mshindo mkkubwa je. Kuna dawa, au kiitu nifanye!!
Nb sina tatizo la nguvu za kiume
SawaTendo la ndoa ni tamu na ajabu sana likifanywa na ambae yupo pure/ hajawahi kufanya kitendo hicho. Ili uendelee kupata ilikupasa usifanye tena mpaka uoe maana kufanya na mkeo tuu bado in utakatifu, kwahiyo roho was Mungu atakuwa kati yenu na kuendelea kulihuisha kila Sikh mpka siku mtakapotengana. Mfano mm kila siku naona ni kama siku ya kwanza coz sijawahi kutoka nje ya ndoa na mwanamke wangu ni huyo hiyo mpka nikamuoa. Usiniulize kama nilimkuta bikra au lah
Samahani mwenyekiti nisharekebishahiyo P ni herufi kubwa.
Puri
MhhhhhhMimi nnayo dawa,,mshindo ukipata unadumu dakika 3 kabla haujakata,,ni dawa ya kimasai,,nzuri mnoo
Kitu kinapewa heshima yake.hiyo P ni herufi kubwa.
Puri