Nifanyaje kupata mshindo wa nguvu kama ule wa siku ya kwanza?

Niliwahi siku moja tu, wala haikuwa siku ya kwanza.... nikashindwa hadi kutembea yaani miguu haifiki chini.[emoji3][emoji1][emoji28]
 
Fanya mazoezi kunywa maji kwa wingi zen kula vyakula vya kuongeza nguvu kama miogo, ugali kisamvu, viazi mbatata au vitamu achana na machipsi ayo wanayokula wanaume wa dar you thank me later braza nina ushaidi mkubwa sana mm mwenyewe napiga show adi totoz inakimbia
 
Kupiga show hadi demu akimbie ni kitu kizuri au ujinga?..Si inabidi akunganganie if she really enjoy the act?..Au unamaanisha yeye kuchoka kabla yako?
 
Tafuta PESA mkuu,,,,

Ukiwa huna PESA hata ukigegeda mwanamke unajihisi kama unapiga nyeto..
 
Tafuta PESA mkuu,,,,hakuna namna..

Ukiwa huna PESA hata ukigegeda mwanamke unajihisi kama unapiga nyeto..
 
Usihofu kula alkasusu

Itakuwa ni mass destruction weapon
 
Kupiga show hadi demu akimbie ni kitu kizuri au ujinga?..Si inabidi akunganganie if she really enjoy the act?..Au unamaanisha yeye kuchoka kabla yako?
Mkuu namaanisha demu kalizika sana yani unampelekea moto mpk kila aendapo anakuwaza kwa iyo nilikuwa namaanisha ivyoo
 
Astrazeneca
 
.... Ladha kama ile hutokaa uipate maisha yako yote. Kumbuka ile ndio ilikuwa mara ya kwanza kipizzz na hukuwahi ku~experience kitu kama hiko kabla, yaan ni mara yako ya kwanza!
Kwa hiyo sahau jombaaaa......
Ila kama inhekuwa ni mara ya kwanza kwa mke wake na asichepuke bado angeendelea kupata utamu uleule
 
Kama unataka mshindo nenda yanga pale Kuna Mshindo Msola
 
Wewe ni she au He?
 
Yeye je yupo na wewe tu, hajawahi kufyatuliwa nje??.
 
Unatakiwa ule karanga, korosho, mihogo mibichi, vipande vya nazi mara nyingi halafu ukae hata mwezi hivi hujasex, hakika ukienda kusex siku hyo unaweza kuzimia kwa utamu wa bao utakalolipata!
Mwezi?,Mimi siku tatu tu km nakula vizuri nikipiga kitu, Mshindo mmoja manii najaza kikombe Cha chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…