milion 20 vyumba 20? hauko serious mkuu.Milioni 20 jenga vyumba 20 vya kupangisha,
Chumba simple cha kupangisha mpaka kukamilika ujenzi ni 1mil × 20 = 20mil.
Ni chumba simple,
Ukihitaji vyumba classic vitapungua idadi.
Fundi ninaye.
kama pesa yako umepata kupitia mihangaiko yako halali, nakushauri endelea na hizo misheOhh asante sana
Wewe umejenga nyumba,milion 20 vyumba 20? hauko serious mkuu.
nimejenga msingi tu ni zaidi ya 27m, mpaka sasa nimetumia 120m+ nyumba ndio nimepiga plasta,
hapa uangalizi ulikuwa wa hali ya juu, kama kuna wizi ni asilimia ndogo sana.
Huo ujenzi wa 20m kwa vyumba 20 ukoje?
Wewe nawe ulikuwa unajidai darasa la saba? Thubutuu yakoWewe umejenga nyumba,
Mimi nimeshauri ajenge vyumba,
Huoni utofauti hapo?
Isitoshe komenti yangu imejitosheleza kuwa ni vyumba simple tu, havijapigwa plasta, havina aluminium windows etc.
Sasa inaonekana wewe umejenga nyumba, ambapo kuna korido, vyoo vya ndani, sebule, jiko, dining, vyumba vyenyewe, etc.
Kwahiyo usikatae, chumba cha kawaida mpaka kikamilike wastani 1m.
Kinakuwa chumba ambacho unaweza kukipangisha.
Kama huamini lete kazi.
Mimi nilisoma mpaka darasa la saba.Wewe nawe ulikuwa unajidai darasa la saba? Thubutuu yako
Mpe kiwanja ajengeMilioni 20 jenga vyumba 20 vya kupangisha,
Chumba simple cha kupangisha mpaka kukamilika ujenzi ni 1mil × 20 = 20mil.
Ni chumba simple,
Ukihitaji vyumba classic vitapungua idadi.
Fundi ninaye.
Akikujibu unitagUlkuwa unauzia wapi
I mean mkoa gani?
Akishaanza huo ufugaji anitafute nimtengenezee machine ya kuchanganya vyakula vya kuku.Chukua milioni 10 fungua fixed akaunti NMB.
Milioni 10 iliyobakia nenda Silverland Tanzania/Silverland Dar nunua vifaranga aina y SASSO 1000 kila mmoja ni 1400, wafuge ndani ya miezi minne watakuwa wamekuwa wakubwa kweli kweli utauza kwa 15,000 au 20,000 kwa mmoja.
NB: SASSO ni kuku chotara wanaovumilia magonjwa na hali ngumu zote.
Gharama ya kuwahudumia SASSO 1000 pamoja na banda, madawa n.k havitazidi hata milioni 5.
Pia jifunze formula ya kutengeneza chakula cha kuku wewe mwenyewe ili kupunguza gharama.
Duuuuuuuh kazi ipo kwa kweli.Amina. Kuwa makini na hao wanaokuita PM. Waambie kama wana ushauri wautoe hapa tuupime.
Wengi ni matapeli, wengine wanatumia hadi dawa ukikutana nao tu utawapa hela zote bila kujijua akili zinarudi hela zimeshaenda. Yamewakuta wengi.
Uza bangiHello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Hivi si wapo machangudoa wanaoingiza zaidi laki moja kwa siku, kwanni jamaa hasijiingize kwenye hiyo businessLaki ni net income manake profit (faida) au? Biashara ya laki moja faida kwa siku manake 3 million tshs faida kwa mwezi zipo nyingi tu lakini ujue inaweza kukuchukua hata miaka mitatu tokea biashara ianze hadi upate hio faida ya 100k kwa siku. TANZANIA YA LEO NGUMU SANA KUANZISHA BIASHARA LEO HALAFU BAADA YA MWEZI MMOJA ETI UONE FAIDA YA 100K KWA SIKU. Lakini ukipata Location nzuri sana kama city center, ukawa na product nzuri sana watu wanayoihitaji, na ambapo una supply chain nzuri ambapo product unaipata kwa bei ndogo ya wholesale, na ukasimamia MWENYEWE kuondoa wizi, INAWEZEKANA SANA.
Jaribu kujiuzaHello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Asante sana mkuu.Mkuu uko vizuri Sana big up sana
Na shelui[emoji23][emoji23]Yani umeona uwapige kichwani watu wa sekenke