Umenisimanga badala ya kunipa suluhisho.Mungu hapendiHuba imani ndio maana unataka kumuwahisha Mungu kukujibu. Kama unataka kujibiwa kwa muda uutakao wewe nenda kwa shetani
Nipe Siri kiongoziMkuu ni DM nikufundishe kitu, hakika ombi litakubaliwa
Mwombe katika roho na KWELI bila mashartiMwenzenu nina shida ya haraka, ambayo nikiweza kutatua ndani ya siku 3, maisha yangu yatakuwa yamefunguliwa upya. Kila nikiwaza binadamu gani wa kunisaidia simuoni. Tumaini ninaloliona ni kupata msaada toka kwa Mwenyezi Mungu. Wana bodi, Nifanye ibada gani Ili Mungu anisaidie kwa uharaka?
Siwezi kuandika boss,nilitaka nimpigie nimuelekezeNipe Siri kiongozi
Hapo kwenye haraka ndipo unapokosea. Yeye haharakishwi. Anajua muda muafaka wa kukujibu, sio wewe umpangie!Mwenzenu nina shida ya haraka, ambayo nikiweza kutatua ndani ya siku 3, maisha yangu yatakuwa yamefunguliwa upya. Kila nikiwaza binadamu gani wa kunisaidia simuoni. Tumaini ninaloliona ni kupata msaada toka kwa Mwenyezi Mungu. Wana bodi, Nifanye ibada gani Ili Mungu anisaidie kwa uharaka?