Nifanye ibada kwa njia ipi ili Mungu wangu ajibu maombi yangu kwa haraka?

Umenisimanga badala ya kunipa suluhisho.Mungu hapendi
Hajakusimanga, Mungu hujibu maombi kwa wakati wake, wewe unatakiwa kujiweka kwake maisha yako yote siyo ukiwa na shida ndo umpe siku Tatu.
Wa kujibu unavyotaka wewe mwambie shetani nae atasema lete jogoo mwekundu, ukipeleka tuu anakujibu.
 
weka agana na mungu kuwa ukifanikiwa na wewe utafanya nini au utawasaidia watu kuhusu nini endapo ukifanikiwa na ukashindwa kutimiza sadaka yake ni kufunga siku 11 mfululizo au kulisha maskini 10 kazi ni kwako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajakusimanga, Mungu hujibu maombi kwa wakati wake, wewe unatakiwa kujiweka kwake maisha yako yote siyo ukiwa na shida ndo umpe siku Tatu.
Wa kujibu unavyotaka wewe mwambie shetani nae atasema lete jogoo mwekundu, ukipeleka tuu anakujibu.
Hii namba ni ya tapeli wa mtandaoni. Siyo yako kweli hii 0658154533?
 
Barikiwa sna Mkuu
 
1.OKOKA, MPE YESU MAISHA YAKO

2.TUBU DHAMBI NA KUZIACHA

3.SOMA NENO LA MUNGU

4.KUWA MTU WA MAOMBI KILA SIKU

5.TAFUTA KANISA LA WATU WALIOKOKA UJUMUIKE NAO
 
Usimpangie kila jambo na wakati wake....hawai wala hachelewi kiwa na subra
 
Uko vizuri mkuu

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Funga siku tatu au sali novena ya mtatakatifu rita hii ni uhakika nimekuwa nilimtumia sana pale napokamwa gafla napata njia
 
1.OKOKA, MPE YESU MAISHA YAKO

2.TUBU DHAMBI NA KUZIACHA

3.SOMA NENO LA MUNGU

4.KUWA MTU WA MAOMBI KILA SIKU

5.TAFUTA KANISA LA WATU WALIOKOKA UJUMUIKE NAO

Waliookoka ndo wanashida Hadi kwenye kope. Wanashinda kwa Mwamposa kusubiri miujiza. Tafuteni pesa acheni hizi story za kusadikika
 
Ndiyo. Unataka nikupe connection ya wajenzi huru?
Kwaiyo wewe ni mjenzi ambaye ulikuwa umefungwa na sasa upo huru(freemasons). Je ulifanya kosa gani kwenye icho chama mpaka ukafungwa, ulipindisha nyumba ya watu, uliiba cement au uliiba matofali au nondo, au ulikula posho ya mafundi wenzako?
 
watakuelekeza kwa wauza mafuta ya kukanyaga na ndio utakua umepotea jumla kabisa , jiangalie Mungu haamrishwi cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…