Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Uko sahihi Mkuu hapo amani ya moyo juu yake hauwezi kuipata tena hata kama atapotezea vipi haiwezi potea mood swing za furaha na hasira ataishi nazo siku zote, kiufupi ameshavuruga afya ya akili kwenye upande wa mahusiano.
Sigh! Hii yako inaitwa sunk cost fallacy yaani continuing to throw money at a questionable investment just because you have already committed a substantial amount of time and resources at the investment.Dooh! Pole mkuu. Me apa shida n vile nimemposa, kwao tunaheshimiana sana na mdogo ake (yaan shemej angu) nimemfungulia mradi mdogo wa kumpa chochote.
Apa kichwa kinauma nikifikiria yote
😁😁😁😁😁 Kitambo kichache tuUmeanza lini ushauri wewe?
Kutojua mwisho wa siku upate maradhi 😆😆😆Polee sana ndugu.... mapenzi & mahusiano yana changamoto nyingi na wakati mwingine ni bora kutojua!
Mtupe huyo ni snichiMahari nlitoa hata kabla hajaenda dar.
Kwani dsm kuna nini? Hata akienda kantalamba kama kaamua kuliwa ataliwa tuHivi ushawai kua na mpenzi wako mzuri tuu mnapendana mara ghafla akaenda Dsm?? Kinachofuata baada ya hapo hua ni maumivu.
Kifacebook zaidiMimi naona nikiandika haitoshi nimerekodi voice note👇
▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။|||။ 03:53
Ukimchunguza sana kuku huwezi kumla, wewe ishi naye ila kwa tahadhari kubwa ukiendelea kumchunguza kwani tayari umeshapata ishara.Habarini wadau.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi nilipo mimi na kuendelea na shughuli alizokuwa akifanya kipindi cha nyuma.
Kwa vile tulishatambulishana na mahari nimemtolea sikuona vibaya kuanza kuishi nae kabla ya ndoa. Alibeba kila kilicho chake na kuhamia kwangu rasmi.
Juzi wakati tukiwa kwny stori za hapa na pale, aliomba kuangalia simu yangu ninayoitumia. Sikuona tabu nikampatia, cha ajabu hakuhangaika na vilivyomo ndani, badala yake alitoa kava na kuikagua jinsi ilivyo kwa nje kisha akatabasamu na kusema kuwa ameipenda, na kama haitakuwa noma tubadilishane simu.
Sikuwa na neno coz namjua anapenda sana show offs. Japo yake pia n simu kali ila nilimkubalia. Tukahamisha details muhimu then tukabalilishana simu.
Jana nlipotoka job sikuwa na la kufanya, nikaona si mbaya nipitepite kwa simu hii niizoee mkononi.
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).
Nilikutana na picha nyingi sana za mwanamke wangu akiwa ktk moja ya fukwe maarufu sana dar na alipiga kipindi ambacho alienda huko alipopata kazi aloifanya kwa muda mdogo na kurejea mkoani. Amevalia nguo ambazo hata mimi sijawah kuziona.
Pia zipo video akiwa na jamaa flan hv wakibebana na kucheza kwenye mchanga wa Beach wakiwa nusu uchi.
Hapa nimepigwa butwaa sielew nichukue maamuzi yapi kwa sasa. Bado sijamwambia chochote had sasa.
Maoni yenu n muhimu wakuu.
Basi achana nae katafute bikra ambae hajawahi kuliwa. Usipomkuta bikra ujue kwamba alishafiligiswa sana tu na atafiligiswa tu siku akipata chance.Kwa upande wangu najiona nipo kwenye mstari kabisa. Sina backups
Hata huyu hakuwa bikra lkn sikuwaza kasiginwa na wangapi huko nyuma. Nlianza nae ktk point ile ile. Sifaham pia wakati niko naye kaliwa na wangapi japo sijawahi kuona hata dalili za kunistua kuhusu mienendo yake na ndo maana nikamposa kabisa.Basi achana nae katafute bikra ambae hajawahi kuliwa. Usipomkuta bikra ujue kwamba alishafiligiswa sana tu na atafiligiswa tu siku akipata chance.
Na hata huyo bikra ni neema ya mungu tu imlinde akiamua kugongwa atagongwa tu na wahuni maana sio watu wema.
Kama vipi ungana na kataa ndoa uwe na amani