Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Usimwamini Mwanamke yyte katika hii Dunia,waheshimu tu unatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mad MaxM s o j a
Tunaomba feedback.
Au kama Vipi mtumie link ya huu uzi uyo manzi wako asome aone jinsi tusivomtetea ushenzi wake.
Kwanza usikute yupo Jf.
Sasa umekua.Mad Max
Nilikuwa offline toka jioni ya siku niliyopost hii thread. Ilikuwa hivi...
Nilimsubiri hadi aliporudi toka kazini kwake, nikawa kama hakuna kilichotokea. Nikampa muda wa kupumzika na kupangilia ratiba za humu ndani kama kawaida.
Jana asubuhi baada ya chai nilimwambia kuwa niko na maongezi ya muhimu sana, hakuwa na neno na alitii kama kawaida yake. Tulikuwa na maongezi ya kawaida sana juu ya mambo ya kazi yake na biashara yangu pia.
Niliamua kutonyamaza juu ya hiki nilichokiona. Nikajarb kumhoji indirectly kuhusu lifestyle yake kipindi alipokuwa dar. Hapo nilianza kuona hofu ikija machoni pake pale nlpomuulza beach mlikuwa mnaenda siku za weekend au kuna nafasi alokuwa anapata kwa siku za week.
Alibabaika sana na kuanza kuingiza mada nyingi ili kunipotezea dira. Ilifika mahali akawa n kama anamaindi n kwann najaribu kuhoji sana kuhusu mambo ya dar akidai kuwa namkosea kutokumuamini.
Sikusubiri sana nikadisplay moja ya picha na nikamuulza n kitu gan kilikuwa kinaendelea pale. Alichonijibu kiukwel kilinikalisha chini kwa muda.. "ww huko kote ulikuwa unatafta nn kama sio ujinga.... picha nilishafuta hzo ww unafukunyua ili uone nn".
Nilishndwa kujizuia nikachukua maamuz magumu. Kwa sasa yupo kwao.
Ntawajuza yatakayoendelea
Bro pole na hongera kwa maamuzi ya kiume.Mad Max

Mkuu wew ungekuwa ni jamaa, huyo manzi akakiri kosa na kuomba msamaha.Sasa umekua.
Utaumia siku 2 tu ila yatapita.
Mtu aliekosa na anajutia kukosa ilibidi kwanza akiri kosa, pili aombe msamaha.
Kusema kweli, NO WAY. Sisamehi.Mkuu wew ungekuwa ni jamaa, huyo manzi akakiri kosa na kuomba msamaha.
Ungemsamehe?
Shukuru Mungu kuwa wewe ulikumbuka kufuta na kwenye trash au umesahau ila yeye hajui kuwa zinapatikana kwenye trash.Habarini wadau.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi nilipo mimi na kuendelea na shughuli alizokuwa akifanya kipindi cha nyuma.
Kwa vile tulishatambulishana na mahari nimemtolea sikuona vibaya kuanza kuishi nae kabla ya ndoa. Alibeba kila kilicho chake na kuhamia kwangu rasmi.
Juzi wakati tukiwa kwny stori za hapa na pale, aliomba kuangalia simu yangu ninayoitumia. Sikuona tabu nikampatia, cha ajabu hakuhangaika na vilivyomo ndani, badala yake alitoa kava na kuikagua jinsi ilivyo kwa nje kisha akatabasamu na kusema kuwa ameipenda, na kama haitakuwa noma tubadilishane simu.
Sikuwa na neno coz namjua anapenda sana show offs. Japo yake pia n simu kali ila nilimkubalia. Tukahamisha details muhimu then tukabalilishana simu.
Jana nlipotoka job sikuwa na la kufanya, nikaona si mbaya nipitepite kwa simu hii niizoee mkononi.
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).
Nilikutana na picha nyingi sana za mwanamke wangu akiwa ktk moja ya fukwe maarufu sana dar na alipiga kipindi ambacho alienda huko alipopata kazi aloifanya kwa muda mdogo na kurejea mkoani. Amevalia nguo ambazo hata mimi sijawah kuziona.
Pia zipo video akiwa na jamaa flan hv wakibebana na kucheza kwenye mchanga wa Beach wakiwa nusu uchi.
Hapa nimepigwa butwaa sielew nichukue maamuzi yapi kwa sasa. Bado sijamwambia chochote had sasa.
Maoni yenu n muhimu wakuu.
HApo sawa.Kusema kweli, NO WAY. Sisamehi.
Piga chini tafuta mwingineMad Max
Nilikuwa offline toka jioni ya siku niliyopost hii thread. Ilikuwa hivi...
Nilimsubiri hadi aliporudi toka kazini kwake, nikawa kama hakuna kilichotokea. Nikampa muda wa kupumzika na kupangilia ratiba za humu ndani kama kawaida.
Jana asubuhi baada ya chai nilimwambia kuwa niko na maongezi ya muhimu sana, hakuwa na neno na alitii kama kawaida yake. Tulikuwa na maongezi ya kawaida sana juu ya mambo ya kazi yake na biashara yangu pia.
Niliamua kutonyamaza juu ya hiki nilichokiona. Nikajarb kumhoji indirectly kuhusu lifestyle yake kipindi alipokuwa dar. Hapo nilianza kuona hofu ikija machoni pake pale nlpomuulza beach mlikuwa mnaenda siku za weekend au kuna nafasi alokuwa anapata kwa siku za week.
Alibabaika sana na kuanza kuingiza mada nyingi ili kunipotezea dira. Ilifika mahali akawa n kama anamaindi n kwann najaribu kuhoji sana kuhusu mambo ya dar akidai kuwa namkosea kutokumuamini.
Sikusubiri sana nikadisplay moja ya picha na nikamuulza n kitu gan kilikuwa kinaendelea pale. Alichonijibu kiukwel kilinikalisha chini kwa muda.. "ww huko kote ulikuwa unatafta nn kama sio ujinga.... picha nilishafuta hzo ww unafukunyua ili uone nn".
Nilishndwa kujizuia nikachukua maamuz magumu. Kwa sasa yupo kwao.
Ntawajuza yatakayoendelea
Nimeipekua vzr... cjui kwa yaliyofutika permanently yalikuwaje.Mkuu una uhakika umepekua vizuri Kwenye hiyo trash ya simu yake?
Mbona Kama hujaangalia picha zote zilizomo Kwenye trash ama umeamua kufanya Siri sisi tusijue Kila kitu?
Enewei, wanasemaga mwana kulitafuta mwana kulipata.Wewe wakati uliingia Kwenye trash ya simu ya mwenzio ulitegemea kukutana na Mambo gani tofauti na hayo uliyoyakuta?
Kwa hali niliyonayo akilini mwangu kwa sasa hata angeomba msamaha sidhani kama ningeelewa chochote.Sasa umekua.
Utaumia siku 2 tu ila yatapita.
Mtu aliekosa na anajutia kukosa ilibidi kwanza akiri kosa, pili aombe msamaha.
Wakurudishie hela waache masihara.Kwa hali niliyonayo akilini mwangu kwa sasa hata angeomba msamaha sidhani kama ningeelewa chochote.
Hapa nipo naskilzia response ya nyumban kwao