Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Young man just give thanks to your God for this early revelation coz you were about to marry an experienced B2B midfielder, now all you have to do is to cut losses and move on....

Najua umeshawekeza sana kwa huyo biiitch, achana nae uendelee na maisha yako
 
The pussy isn't yours bro, it's just your turn.
Mapenzi ya dar na arusha wap na wap mzee, hasa manzi ikawa dar
 
M s o j a

Tunaomba feedback.

Au kama Vipi mtumie link ya huu uzi uyo manzi wako asome aone jinsi tusivomtetea ushenzi wake.

Kwanza usikute yupo Jf.
Mad Max

Nilikuwa offline toka jioni ya siku niliyopost hii thread. Ilikuwa hivi...

Nilimsubiri hadi aliporudi toka kazini kwake, nikawa kama hakuna kilichotokea. Nikampa muda wa kupumzika na kupangilia ratiba za humu ndani kama kawaida.

Jana asubuhi baada ya chai nilimwambia kuwa niko na maongezi ya muhimu sana, hakuwa na neno na alitii kama kawaida yake. Tulikuwa na maongezi ya kawaida sana juu ya mambo ya kazi yake na biashara yangu pia.

Niliamua kutonyamaza juu ya hiki nilichokiona. Nikajarb kumhoji indirectly kuhusu lifestyle yake kipindi alipokuwa dar. Hapo nilianza kuona hofu ikija machoni pake pale nlpomuulza beach mlikuwa mnaenda siku za weekend au kuna nafasi alokuwa anapata kwa siku za week.

Alibabaika sana na kuanza kuingiza mada nyingi ili kunipotezea dira. Ilifika mahali akawa n kama anamaindi n kwann najaribu kuhoji sana kuhusu mambo ya dar akidai kuwa namkosea kutokumuamini.

Sikusubiri sana nikadisplay moja ya picha na nikamuulza n kitu gan kilikuwa kinaendelea pale. Alichonijibu kiukwel kilinikalisha chini kwa muda.. "ww huko kote ulikuwa unatafta nn kama sio ujinga.... picha nilishafuta hzo ww unafukunyua ili uone nn".

Nilishndwa kujizuia nikachukua maamuz magumu. Kwa sasa yupo kwao.

Ntawajuza yatakayoendelea
 
Sasa umekua.

Utaumia siku 2 tu ila yatapita.

Mtu aliekosa na anajutia kukosa ilibidi kwanza akiri kosa, pili aombe msamaha.
 
Bro pole na hongera kwa maamuzi ya kiume.
 
Shukuru Mungu kuwa wewe ulikumbuka kufuta na kwenye trash au umesahau ila yeye hajui kuwa zinapatikana kwenye trash.
 
Piga chini tafuta mwingine
 
Mkuu una uhakika umepekua vizuri Kwenye hiyo trash ya simu yake?
Mbona Kama hujaangalia picha zote zilizomo Kwenye trash ama umeamua kufanya Siri sisi tusijue Kila kitu?

Enewei, wanasemaga mwana kulitafuta mwana kulipata.Wewe wakati uliingia Kwenye trash ya simu ya mwenzio ulitegemea kukutana na Mambo gani tofauti na hayo uliyoyakuta?
 
Nimeipekua vzr... cjui kwa yaliyofutika permanently yalikuwaje.
 
Sasa umekua.

Utaumia siku 2 tu ila yatapita.

Mtu aliekosa na anajutia kukosa ilibidi kwanza akiri kosa, pili aombe msamaha.
Kwa hali niliyonayo akilini mwangu kwa sasa hata angeomba msamaha sidhani kama ningeelewa chochote.

Hapa nipo naskilzia response ya nyumban kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…