Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Pole sana mkuu,
Nilikuwa nina mpango wa kuoa October hii, ngoja nijipe muda kwanza .
 
Mkuu kawaida alikuwa haishi mbinguni anaishi duniani ulichompendea ww ndio walichompendea wengine kikubwa heshima tu hata ww ulikuwa na vimeo vyako mkuu.
 
Mkuu kawaida alikuwa haishi mbinguni anaishi duniani ulichompendea ww ndio walichompendea wengine kikubwa heshima tu hata ww ulikuwa na vimeo vyako mkuu.
Kupendwa na kutumika n kawaida na tunajua hlo. Suala la kujiwekea ushahidi wa picha na video ndo tatzo lilipo.
 
Kama sio uongo basi wewe ni lijinga.
 
Wee msengerema nini... Unataka Mungu akuonyeshe nini tena... You've 2 options, Kill her or Leave her broken... Mwanaume gani hujui cha kufanya till now... Go to hell
 
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).
Samahani mkuu kwenye thrash unafikaje?

Kuhusu ushauri naomba uchukue video moja uweke status halafu usubiri reaction yake.
 
Wee msengerema nini... Unataka Mungu akuonyeshe nini tena... You've 2 options, Kill her or Leave her broken... Mwanaume gani hujui cha kufanya till now... Go to hell
Nmeleta mrejesho mkuu, soma replies.
 
Samahani mkuu kwenye thrash unafikaje?

Kuhusu ushauri naomba uchukue video moja uweke status halafu usubiri reaction yake.
Nilikuwa najarib kupunguza contents ambazo hazikuwa na faida kwangu. Kila nikifuta inaenda kwenye trash. Nikaona nizifuate huko huko nikazifute permanently.

Ndo nikakutana na hayo mambo
 
Una umri gani?
 
Mgodi ni kama sahani ukisha tumia inaoshwa mwingine akija anaitumia hata wewe siyo kama chaki,
 
Hawa wanawake bhana duuh kuna jamaa ni ticha juzi kati kakosa kufa na BP sababu ya mke yaani mke alikuwa anatoka na kishikaji ambacho kilikuwa kihawala cha binti wa huyo mama tena kimempa had mimba binti yake daah Yan ni hatareee ticha BP ilipanda had akawa anatoka had damu puani ikabidi serkal ifanye mpango wa kumhamisha ticha kwenda mko mwingine akae mbali na mke wake binti Nae katoroka hajulikani aliko..........kiufupi tu baharia mwenzangu piga chini huyo hiyo ni alama ya check ingine ogopa sana
 
Je kama mgodi unatema pia apige chini?
 
Kitu kixito kimeshatua ila naona hakijakujeruhi sana na unayo nafasi ya kutoka japo kitakuachia majeraha madogo.

Muhoji haya maswali kuweka mambo sawa.

Ni kazi ndio ilimpeleka Dar au ni hilo jambo?
Nini kilipelekea akaacha kazi baada ya miezi 9?
Nini kilifanya akafuta hizo picha (ipo motive mpaka akafuta)

Kwakua aliindoka kama mchumba wako unayo haki ya msingi kujua kila kitu kuhusiana na hizo picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…