Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi
Ndio ""Paap" Mungu bariki kesho unapata uteuzi wa madaraka kuwa boss sehemu fulani, tuseme "Mkurugenzi wa Halmashauri X""

Aiseee sipati picha hiyo ofisi itakavyokuwa.

Watu kama nyie ofisini mko wengi balaaa, huwa hamtaki ushauri kutoka kwa junior staffs kabisaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe sio mbishi. Au unabisha?
 
Kwa dunia ya sasa usipokuwa mbishi wapumbavu kama ccm na kina P diddy na S diddy watakulisha hadi mavii...kuwa mbishi mwenye akili siyo mbishi mpumbavu kama chura kiziwi wa makunduuchi.
 
Hapo kwenye kuelewa
haraka ni kama Mimi, huwa sipendi mtu aelekeze Sana wakati najua anapoelekea, tofauti yangu na wewe Mimi simkatishi...naondoa concentration kabisa na nakuwa bored, siipendi tabia hii basi Tu.
 
ipo dawa fulani ambayo ninya unga,unaiweka kupitia tundu la haja kubwa kika siku mara 2 uje inbox nitakuelezea
 
Wewe ni Muha Kutoka Kayenzi Burundi.
 
Kama unatokea Kigoma tukikushauri bado utatubishia tu
 
Kila mtu huzaliwa na tabia ya asili na hii tabia ya asili ndio huendesha maisha ya mtu kwa asilimia kubwa kuliko ile ya kufundishwa akiwa katika umri wa utu uzima.ukiuliza mzazi ama wazazi wako utaambiwa katika ukoo wenu yuko aliye kuwa na tabia kama hii inayokutesa sasa.
 
ITAMBUE ASILI YA KUZALIWA KWAKO INAWEZA IKAWA CHANZO CHA TATIZO LAKO. EZEKIEL 16:1-5.
Somo hili limesaidia wengi na kuwabadilisha toka kwenye asili ya tabia mbalimbali walizorithi.
 
Ogopa Sana kuishi nje ya uhalisia wako. Ikiwezekana ongeza kidogo au Baki hapo, maana wanaochukia tabia yako wanatakiwa wakuzoee hivyo. Na nnaimani tabia hiyo inakuletea furaha, Sasa sio vizuri kuiacha utaishi maisha magumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…