Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Naskitika sana kuwa utajiri ni mbinu na ni siri Sio rahisi mtu kutoa siri ikiwa bado ni ya moto mpaka ipowe iwe haina madhara makubwa na faida iwe ndogo kulinganisha na zamani.

kuna Biashara ambayo mtaji wake ni Kama laki nane na mtu akiamua kuifanya peke yake kwa mwezi wa kwanza huwezi kosa faida ya laki 6 pia hii Biashara ni rahisi kuireplicate maeneo mengine na faida ni rahisi kuongezeka kwa kasi kwa wiki unaweza kutengeneza profit ya laki 2 mpaka 4 profit yake ni nzuri.

utamu wa hii Biashara ni legal inatambulika inafanyika sana na watu Wenye mitaji mikubwa lakini kuna namna ya kuifanya kwa udogo kupitiliza kwani kikawaida kuifanya lazima uwe na zaidi ya 40m hapa ndio linakuja swala la ubunifu, utafiti na ubobezi, Biashara Kama hii Sio rahisi mtu kuitaja wakati ikiwa hoti uwo ni uwongo utakuja kumsikia tu baadae anasema ilikuwaga hivi .....nikajump vile ndio nikawa millionaire.


lengo la kusema Haya ni kuwa mtaji wa milion moja kuna Biashara kwa mwezi unaweza kupata profit ya milion moja .....siongelei forex, wala betting naongelea biadhara Kama Biashara Yaani kutoa service/products na kupewa pesa....... hii inamaanisha kuwa kuna Biashara ambazo kila baada ya miezi 3 mtu anaweza Kufungua tawi sehemu ingine na kutengeneza same profit......

biashara nyingi zenye returns kubwa huwa zinausisha knowledge kidogo, ubunifu na semi manufacturing or processing/value added items refer Bilgate, Jeff benzo, KFC, UBBER, online cinema tickets, KIKUU APPS and the like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo umemaliza? Au mimi sijaelewa ...nilikua na shauku ya kujua hyo biashara ya mtaji wa laki 8 na 1M ni ipi ila bado akili haijaregister.
#excited to know..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo umemaliza? Au mimi sijaelewa ...nilikua na shauku ya kujua hyo biashara ya mtaji wa laki 8 na 1M ni ipi ila bado akili haijaregister.
#excited to know..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfate inbox...ushaambiwa biashara ina siri nyingi bado tena unaulizia hapa hapa...jiongeze hahahahah

Kwa wingi wa maelezo aliyoandika sikutegemea aache kutoa mfano...maana kila mtu humu akili imegoma biashara milion ikupe laki 8



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhhahhhahhaa. ..balaaa,sawa basi. Ngoja tujongee PM
 
Uzi huu nimeusoma leo, nimeanza mwanzo hadi mwisho. Sio kwasababu ulikuwa na nondo za maana,la hasha! Ni kwasababu nilitamani sana kuona project ya Mwl. RCT! Ila kwa masikitiko makubwa sijaona.

mwl.rct ni miongoni mwa watu naowafuatilia kutokana na vitu wanavyofanya ila sijui hapa alikumbwa na nini hadi leo hajarudi!

Katika huu uzi vitu nilivyoona ambavyo viko realistic ni vitatu tu!

Wa kwanza ni huyu wa sambusa. Sio lazima mtu uanze kama alivyoanza yeye, ila kwa kusoma alipofikia unaweza kupata namna nzuri ya kuanza biashara yako na wala isihitaji kutumia hata laki tano

Wa pili ni huyu wa gesi. Hii jamaa ameichambua vizuri na mwisho wa siku ni biashara rahisi sana kujiendesha kwa baadaye

Nyingine ni huyu wa handbarg za wadada. Ni biashara nzuri japo hii kwa mdau aliyeanzisha mada inaweza isimfae sana kwasababu naamini inahitaji uifanye mwenyewe

Katika biashara mbili za juu si za kuvamia kichwa kichwa maana zinahitaji research na kuzoeleka kwa wateja.

Usambazaji wa gesi mathalani, utahitajika ukae sokoni kwa muda huenda bila hata kuuza ili kupata na kuzoeana na wateja

Mwisho kabisa hata walioshauri biashara za nafaka hizi nazo si za kukurupuka! Kuna namna zinafanywa na unatakiwa uwe na plan B always hasa ukizingatia Magu kafunga mipaka mazao yasitoke nje so tunauziana sisi kwa sisi.

Nimalizie kwa kusema, Mwl. RCT bado tunasubiri urudi na project yako maana nidhahiri pilot umemaliza hadi sasa
 
Project yangu ipo, Na itaendelea kuwepo, maana ni endelevu.
Ukifika wakati nitaweka wazi nini inatakiwa kifanyike.
Mimi ni miongoni mwa wanaosubiri kwa hamu hiyo project itufikie, naamini katikati kushirikishana ndio wengi tunapata mwanga.
 
Weka neno, Nini mawazo yako? katika hili.

Mkuu mwezi wa 4 huu ulituahidi. Mwezi March tarehe 1 kuna kitu utaleta ila mpaka sasa kimya! Sasa sijui ni Magumashi au ndo umeghairi au tuje pm kwa kiingilio [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Mkuu mwezi wa 4 huu ulituahidi. Mwezi March tarehe 1 kuna kitu utaleta ila mpaka sasa kimya! Sasa sijui ni Magumashi au ndo umeghairi au tuje pm kwa kiingilio [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
#1. Swala la fedha linahitaji umakini.

#2. Nahitaji kuwa na track record isiyo nashaka.

#3. Tujipe muda

Ila ukweli unabakia pale pale inawezekana kutengeneza TZS 200,000 au zaidi kama faida kwa mataji usiozidi TZS 1,000,000 ( 1M ), Track record ndio itakayotuthibitishia hili, Tuvute subira haihitaji haraka, tambua ni wengi wan fedha na hawana jinsi ya kuziweka kwenye mzunguko wa kibiashara kutokana na sababu moja ama nyingine.
 
Mkuu hii imekaa vyema.
 
Mkuu kwema? Naomba ni Pm tuongee..
 
mkuu mfumo bado haujaanza kufanya kazi au upo majaribioni now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…