MKUU,
ULICHOKIWASILISHA NDICHO NILICHOKUWA NAKIMAANISHA,
"Great Minds Think Alike".
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Mkuu habari.HATOPIGWA MTU HAPA LAKINI ?!?!
Hata mimi nipo tayar kuwekeza milioni 1 namwisho wamwezi nipate angalau laki 3 tuuNa hapo bado faida anayoipata anaekuendeshea hiyo biashara ili akupatie hiyo 800,000/= kama faida yako.
Mid nipo tayari kuweka 1M nikapatiwa 300,000/= kama faida kwa mwezi.
Siwezi kusema haiwezekani, lakini inahitaji kufikiria kuliko kawaida na kwa mazingira yalivyo sasa hivi, biashara halali ni ngumu sana kufikia hilo la kupata 8000,000/- faida kwa kuwekeza 1 M.
Hayo mahesabu ya wapi?mtaji milioni moja, utengeneza faida laki 2 kwa wiki.. maana yake ni elfu 70 kila siku bila wewe kuwepo... naona unataka kutapeliwa tu.
labda u bet tu
Hayo mahesabu ya wapi?
70,000 kwa siku × siku 14 (wiki mbili) ni sawa na 200,000!!!???????????
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri shauri lolote Chinga,kingereza kingi sana,sie wamachinga tunashindwa kukushauri sababu hatukielew hicho kikristo
Return zaidi ya 80% si mchezoMtaji usizidi 1M, huna muda wakusimamia THEN faida iwe 800,000/= kwa mwezi.
labda ngoja niendelee shuhudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema Kiia wiki mkuu,hahahEti nawaza...laki 2 kwa kila mwezi..na mtaji wako ni 1m????duh
Amesema Kiia wiki mkuu,hahah
Swali langu la kwanza lilikuwa ushawah kufanya biashara yoyote ile? Maisha ya biashara cyo myepesi hivyo bro ni ngumu japo rahisiWakuu!
Wasalaam!
najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,
Ni Hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa,
Ni HESABU ZA Kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndo nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha
Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.
Naombeni sana mawazo weyu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, Huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanja
so kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvion vizuri kisha unijibu.
Asante
Swali langu la kwanza lilikuwa ushawah kufanya biashara yoyote ile? Maisha ya biashara cyo myepesi hivyo bro ni ngumu japo rahisi
Ushauri
Unaweza nunua bero za mtumba nne ukapigisha mnada kila bero ukapiga faida ya elfu 50 tu au 25 kwa wiki ukifungua mara mbili lengo linatimia
Angalizo linaweza kukata mtaji wako au kukuinua mazima maana unauziwa mbuzi kwenye gunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikufanya nn boss[emoji3]Kwa belo siungi hoja mkuu..hyo biashara ni pasua kichwa sana...!kama ulivyoshauri kwenye last para..!naandika haya nikiandika kwa uzoefu mkubwa
Sio kwa mwezi ni kwa wiki[emoji2] [emoji2]Eti nawaza...laki 2 kwa kila mwezi..na mtaji wako ni 1m????duh
nimeifanya kwa almosr 2yrs..ikawa inakata sana bas tu unakuw unakaakiba unaongezea..mitumba ukitaja ikulipe anza na bello 4 hv..sio 2 lazima utajikuta umerudi kwenye zero tu..na nenda minada yt uijuayo ww..hapo itakulipa..kuna minada kutoka j3 had jpl
Mkuu habari.
Hivi hapo ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiria??
Je kwa nini kila wakati tunayapa nafasi mawazo hasi na yasiyo na tija katika maisha yetu??
Ingekuwa busara kuuliza HOW??? inawezekana kupata 200,000 kwa mtaji wa 1M, hakika hapo ungejifunza kitu.
Kijana acha tamaa.Kama hutojali Naomba unipe mfano Wa hzo biashara kwa faida wengi hapa jukwaani
Mkuu,MKUU,
SWALI LANGU HALINA LENGO LA KUMVUNJIA YEYOTE HESHIMA,
ILA IKIWA KUNA BIASHARA YOYOTE HALALI AMBAYO KWA MTAJI WA MILIONI 1,
TENA HAUISIMAMII MWENYEWE-
HATIMAYE INAKULETEA LAKI 8 KWA MWEZI-
WATANZANIA WOTE TUNAWEZA KUHAMIA HUKO !!!
JITAHIDI KUFIKIRI SANA KWA MAPANA-
UTANIELEWA TU.
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."