Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

MKUU,

ULICHOKIWASILISHA NDICHO NILICHOKUWA NAKIMAANISHA,

"Great Minds Think Alike".

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."

Na hapo bado faida anayoipata anaekuendeshea hiyo biashara ili akupatie hiyo 800,000/= kama faida yako.

Mie nipo tayari kuweka 1M nikapatiwa 300,000/= kama faida kwa mwezi.

Siwezi kusema haiwezekani, lakini inahitaji kufikiria kuliko kawaida na kwa mazingira yalivyo sasa hivi, biashara halali ni ngumu sana kufikia hilo la kupata 8000,000/- faida kwa kuwekeza 1 M.
 
HATOPIGWA MTU HAPA LAKINI ?!?!
Mkuu habari.

Hivi hapo ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiria??

Je kwa nini kila wakati tunayapa nafasi mawazo hasi na yasiyo na tija katika maisha yetu??

Ingekuwa busara kuuliza HOW??? inawezekana kupata 200,000 kwa mtaji wa 1M, hakika hapo ungejifunza kitu.
 
Na hapo bado faida anayoipata anaekuendeshea hiyo biashara ili akupatie hiyo 800,000/= kama faida yako.

Mid nipo tayari kuweka 1M nikapatiwa 300,000/= kama faida kwa mwezi.

Siwezi kusema haiwezekani, lakini inahitaji kufikiria kuliko kawaida na kwa mazingira yalivyo sasa hivi, biashara halali ni ngumu sana kufikia hilo la kupata 8000,000/- faida kwa kuwekeza 1 M.
Hata mimi nipo tayar kuwekeza milioni 1 namwisho wamwezi nipate angalau laki 3 tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu!

Wasalaam!

najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,

Ni Hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa,

Ni HESABU ZA Kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndo nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha

Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.

Naombeni sana mawazo weyu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, Huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanja

so kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvion vizuri kisha unijibu.

Asante
Swali langu la kwanza lilikuwa ushawah kufanya biashara yoyote ile? Maisha ya biashara cyo myepesi hivyo bro ni ngumu japo rahisi

Ushauri
Unaweza nunua bero za mtumba nne ukapigisha mnada kila bero ukapiga faida ya elfu 50 tu au 25 kwa wiki ukifungua mara mbili lengo linatimia

Angalizo linaweza kukata mtaji wako au kukuinua mazima maana unauziwa mbuzi kwenye gunia

Kwa belo siungi hoja mkuu..hyo biashara ni pasua kichwa sana...!kama ulivyoshauri kwenye last para..!naandika haya nikiandika kwa uzoefu mkubwa
 
Sio kwa mwezi ni kwa wiki[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app

tuseme ukwel...labda kama hajawah fanya biashara ndo anaota hayo..mtoa mada HAIWEZEKANI...kwann nasema haiwezekan..mtaji wako mdogo sana...imagine 1m ikulipe 200kweekly??mbn watu wanageacha kazi...labda uniambie kwa 10_20m...!...labda useme 50000 kwa week hapo na mm ningetia neno😊!
 
Zilikufanya nn boss[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
nimeifanya kwa almosr 2yrs..ikawa inakata sana bas tu unakuw unakaakiba unaongezea..mitumba ukitaja ikulipe anza na bello 4 hv..sio 2 lazima utajikuta umerudi kwenye zero tu..na nenda minada yt uijuayo ww..hapo itakulipa..kuna minada kutoka j3 had jpl
 
Mkuu habari.

Hivi hapo ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiria??

Je kwa nini kila wakati tunayapa nafasi mawazo hasi na yasiyo na tija katika maisha yetu??

Ingekuwa busara kuuliza HOW??? inawezekana kupata 200,000 kwa mtaji wa 1M, hakika hapo ungejifunza kitu.

Naomba kuuliza Kwa hiyo project yako ninmtaji kiasi gani mtu anaweza Anza nao nahitaji kuwa mmoja wapo Ila bajet yangu Kama laki moja
 
Kama hutojali Naomba unipe mfano Wa hzo biashara kwa faida wengi hapa jukwaani
Kijana acha tamaa.

Anza kidogo kidogo,
kuwaza vikubwa wakati hata vidogo huviwezi ni hatari na UTAPOTEA.

Kwa kijana mpya asokua na uzoefu wa biashara.

Kwa huo mtaji wa million Moja,
Faida yake inastahili kua elfu 20-30 kwa wiki.

NB: Hiyo faida (Mapato-Matumizi) ya laki 2 kwa mtaji wa million Moja ni Ndoto.

Vinginevyo unaongelea MAPATO ya laki 2 kwa wiki.

Kiuhalisia,
Kama unataka Faida ya Laki 2 kwa wiki,
Itakubidi uwe na MAUZO yasopungua Millioni 2 kwa wiki.

Sasa,
MAUZO ya million 2 wakati Mtaji wako ni Millioni 1 ni KICHEKESHO CHA MWAKA itakua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU,

SWALI LANGU HALINA LENGO LA KUMVUNJIA YEYOTE HESHIMA,

ILA IKIWA KUNA BIASHARA YOYOTE HALALI AMBAYO KWA MTAJI WA MILIONI 1,
TENA HAUISIMAMII MWENYEWE-
HATIMAYE INAKULETEA LAKI 8 KWA MWEZI-

WATANZANIA WOTE TUNAWEZA KUHAMIA HUKO !!!

JITAHIDI KUFIKIRI SANA KWA MAPANA-
UTANIELEWA TU.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Mkuu,
Kwenye hili suala,

Naona kuna baadhi ya watu wanashindwa kutofautisha MAPATO na FAIDA.

huenda mtoa mada anamaanisha Mapato.

Ila kama ni FAIDA, Nakataa kata kata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom