Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

hahahhaa yy huko hajawaza...huenda akapata sehem isiyohitaj ukarabati au hizo fenicha...
Kuna Mwalimu Mmoja aliona Duka LA nafaka limejaa mzigo.

Alipouliza mtaji wote kias gani, akajibiwa kama million 9.

Basi, Akaenda benki kuchukua Hiyo millioni 9 ili afungue duka kama lile.

Kilichomtokea,
Alijikuta biashara Anaifungua na mtaji wa million Moja na Nusu.

Kutokana na Usimamizi mbovu,
Duka halikudumu hata mwaka Mmoja,

Miezi 6 tu alijumlisha duka lote kwa thamani ya laki 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


changamoto ni nyingi sana sana..ila Tusikate tamaa..na siri kubwa ya kuvuka ng'ambo ni kusave hela
 
Kisha,
Utakabidhiwa Kimashine cha EFD na utatambulika rasmi kama mfanyabiashara mkubwa.

Hata kama mtaji wako ni Millioni Moja.

UKITOKA HAPO,
UTAANZA KUILAUMU SERIKALI KWA UJINGA WAKO MWENYEWE.
Hili nalo neno, Bado tuna changamoto kubwa kwa wajisiriamali walio wengi wanao anza biashara.
 
Mbona hela ndogo hivyo, na lengo weka juu kama millioni 2 ili ukipata laki 2 uwe vizuri, ukiweka lengo laki 2, nakuona ni mtu wa elfu20 tuu
 
Anza kukopesha kwa riba ya 20% hapo ofisini kwako na ukata huu wa JPM utaanza pata 1m + riba 200k kwa mwezi. Grow the business that can scale out from profit ya 200k per month to 800K as your target. M-PESA shop also will do
 
Hiki kiasi ni below minimum.
Angalau ingekuwa TZS 500,000 kama minimum yako.

Nawaza tu nahisi mkuu unataka wapeleka watu kwenye forex kila jemaaa kama upo nondo na una uzoefu ila si shauri iyo kitu japo mm mwenyewe nafanya fx sanaa tu ila sijawaza kuwapa watu matumaini ivyoo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…