heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mimi nafuga kuku wa kinyeji sio rahisi kama unavyosema. inahtaji uwekeze kwenye na ujifunze kila eneo kuanzia kujenga mabanda , kuzuia magonjwa, lishe sahihi, na usubiri miezi sita wakue ndipo uwauze au kama unaze kupata mayai ikiwa umefuata taratibu sahihi zinazotakiwa na kwa kwango cha chini wawe angalau 150 .. ungesema wa kisasa wa nyama hao mzunguko wao ni mfupi ndani ya wiki nne umewauza lakini wanataka uangalizi wa hali ya juu sana na umakini na soko la uhakika na ufuge kuanzaia 1000Kama una eneo kubwa, fuga hata kuku wa kienyeji, ukiwa na usimamizi mzuri laki 2 unapiga ndani ya wiki kirahisi
Kubeti ni uchambuzi wako tu ukifanya uchambuzi mzur wa match bila kufata moyo wako unakula hela nzuri tuMkuu Usije ukashawishika Kubeti au Kutrade Forex Kaa mbali kabisa na Hizo Mambo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hukutumia risk management?
Kweli kabisa asishawishikeHii biashara sishauri hata kidogo
Kimtazamo wangu hii biashara ni ya kufanya bodaboda wakiwa katika pikipiki zao wanazozimiliki
Na dereva pia awe anajitambua sio tu pikipiki pekee itakulipaNunua Pikipiki mkuu Ifanye kuwa Boda boda kwa siku kipande Elfu 10 kwa wiki Elfu 70 mkuu Ukiwa nazo hata 2 sio mbaya Boda boda inalipa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Doh! Hivyo vigezo vyote nipo vizuri lakini ninashida piaMuda, commitment, determination, goal setting(unataka kufikia nini, lini na vipi), resources, location, market research na partner ambaye mna same vision and commitment, above all, Love what you do, usifanye kwa ajili ya watu au kwa ajili ya shida.
Sema usaidiwe, sema usife na tai shingoni
Physical disability victimSema usaidiwe, sema usife na tai shingoni
Vipi kwa mtu anaenda kuwanunua mkoani mfano Tabora,Singida,Bahi,Manyoni, Tanga na kwingineko akaja kuwauza mjini, mbona nahisi kama vile kuna faida kubwa kuliko kuwa mfugaji?.Mkuu naomba maelezo kidogo juu ya hili nazungumzia kuku wakienyeji.mkuu mimi nafuga kuku wa kinyeji sio rahisi kama unavyosema. inahtaji uwekeze kwenye na ujifunze kila eneo kuanzia kujenga mabanda , kuzuia magonjwa, lishe sahihi, na usubiri miezi sita wakue ndipo uwauze au kama unaze kupata mayai ikiwa umefuata taratibu sahihi zinazotakiwa na kwa kwango cha chini wawe angalau 150 .. ungesema wa kisasa wa nyama hao mzunguko wao ni mfupi ndani ya wiki nne umewauza lakini wanataka uangalizi wa hali ya juu sana na umakini na soko la uhakika na ufuge kuanzaia 1000
mkuu sijawahi kufanya biashara hiyo ila tatizo kubwa ninaloliona kwa hao kuku ni kuwa huwa wanauzwa kwa wingi ule msimu wa magonjwa ya mdondo pamoja na ndui. hivyo kama utawanunua na kuwapa chanjo stahiki na dawa za minyoo na kukaguliwa na daktari wa mifugo ukasafirisha utafanya biashara nzuri.Vipi kwa mtu anaenda kuwanunua mkoani mfano Tabora,Singida,Bahi,Manyoni, Tanga na kwingineko akaja kuwauza mjini, mbona nahisi kama vile kuna faida kubwa kuliko kuwa mfugaji?.Mkuu naomba maelezo kidogo juu ya hili nazungumzia kuku wakienyeji.
Kama una eneo kubwa, fuga hata kuku wa kienyeji, ukiwa na usimamizi mzuri laki 2 unapiga ndani ya wiki kirahisi