Sawa, angalia asije kuhamisha kwenye ngono, ikawa tabu zaidi, jiulize kitu gani kimempeleka huko, labda kosa liko kwako, na wewe labda uko kwenye denial, ukiamini uko right all the time..Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Home boy tafuta wako bana, acha bwa shemeji apambane na kumrudisha bro kwenye mstari.Mi mwenyewe napiga kuacha imekuwa ngumu,ila sio za kusahau mpaka kuoga iyo ni slave.Mara mbili kwa week sio tatizo ,tunawatesa wake zetu.Mamwanaume sie wakati mwingine kerooooo.Pole dada,njoo kwangu mie msafiiii,nguvu za uhakika utapata na upendo pia
Wacha ujinga wewe,kitimoto unalinganisha na Nini?Tende harua.Wee!!! Maziwa ya kitimoto??---- atatapika hadi utumbo, nyama yake ni haramu na ndio maana hata maziwa yake ni sumu kwa binadamu.
Afadhali awe na kimoja, maana walevi vile vile ni malaya waliokubuhu na ndio maana hawaendi kunywa Bar isiyo mademuNa akiiacha pombe anaanza umalaya.
Kila kitu kina alternative. Jua ulevi wa kupitiliza wa pombe ni mbadala wa kwenda kutafuta wanawake.
We ngoja aache Kama hajaanza kuleta watoto wa nje.
Cha msingi ongeza upendo. Asipooga , muogeshe, akishindwa kula mlishe na n.k.... atapunguza mwenyewe kwa aibu akiona anapendwa. Ila Kama una mdomo haachi na akiiacha jiandae kuwa mke mkubwa.
Juzi Kuna video iliwekwa humu sista duu kanyweshwa sijui Ni K-Vant Ile amelewa anajiharishia kwny nguo paratataaaaaaa.Home boy tafuta wako bana, acha bwa shemeji apambane na kumrudisha bro kwenye mstari.Mi mwenyewe napiga kuacha imekuwa ngumu,ila sio za kusahau mpaka kuoga iyo ni slave.Mara mbili kwa week sio tatizo ,tunawatesa wake zetu.
Mungu atusaidie tuwe na utayari wa kubwaga izi mambo zinapoteza pesa nyingi na wengine kuwapelekea kwenye tamaa ya ngono zembe au kufanya matukio ya aibu
Huku wasiokunywa wao wanakuaga bize na majungu na kua makuadi.Afadhali awe na kimoja, maana walevi vile vile ni malaya waliokubuhu na ndio maana hawaendi kunywa Bar isiyo mademu
Naona unazungumzia Wapenda pombe halafu hawana hela. Hiyo ndio kazi yao, kupiga majungu na ukuwadi, posho pombeHuku wasiokunywa wao wanakuaga bize na majungu na kua makuadi.
Kwa pombe kuwekewa mkojo wa pundaYaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Anahitaji Maombi Huyo.Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Wasiokunywa kazi yao Ni kukaa na wake zao nyumbani na wake zao na kuwasema wajuba.Naona unazungumzia Wapenda pombe halafu hawana hela. Hiyo ndio kazi yao, kupiga majungu na ukuwadi, posho pombe
[emoji1787][emoji1787]fala kweli ww unataka upenyo wa kutaka kumla papuchiNingepata mwanamke mwema kama wewe , Mungu angenipa bonus miaka 10 kutokana na upendo wako tu.
Sio ya yule jamaa anaejiita mkono wa baunsa aisee.Anahitaji Maombi Huyo.
Quite right.“Zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu”
Hapo ndio kuna dosari, je kuna nini baina yenu najua ni ngumu sana baadhi ya watu kusema ukweli hebu funguka
Ina maana zamani mlikuwa hamna tatizo ila limekuwa zito kwake na kaamua kujipumbaza kwa ulevi wa ziada
Kutokuoga ni msongo wa mawazo
Hapo labda kipato chake hakutoshi kwa demand zako kubwa
Huenda umekuwa na matumizi mengi ambayo anashindwa kukupa kwa kutokana na kipato
Matatizo mengi huwa ni finance hebu kuwa mkweli na ubadilike
Au labda kuna watu wa karibu yako wanaishi na nyie na hayupo Radhi ila anakuheshimu sana
Kwa kweli mpaka tusukie ukweli wako hatuwezi kuamua bali assumptions tu
Msaidie sana na kama ni wewe jirekebishe
Mlevi wa kupindukia hanaga muda na hicho kidudeMnyime uchi mpaka atakapoamua kubadilika [emoji12]