Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
I wish ningekua na hizo demand bt sina coz namsupport kwa kila kitu toka ameyumba kiuchumi
May be bt baada yakuona anafeel vbaya kuhusu kukaa bila kazi nilimshauri ajiendeleze hivyo akarudi chuo familia nzima tukamsupport na akafanya vzr first term baada ya hapo ndo majanga yakaanza pombe,sigara na usikute na bangi anavuta pia yaana tafraniThat’s the reason then
Kuyumba kwake huko
Lakini anafanya sivyo mwambie ulevi haumpunguzii matatizo bali unamuonhezea
Lazima atafute kazi yoyote ile
Kukaa bila shughuli ni mtihani ila anajiendekeza mwenyewe na hapo akijua utamlisha utanunulia na pombe
Mpe ukweli akiwa sober kuwa haya mapombe hayamsaidii na badala yake akatafute kazi
Yaani unayumba ndio uwe mlevi mbwa?
Hell no hata sisi tunapigika ila tunanyanyuka na kuoambana tena
Siachi mama,sasahivi nimeanza na b a......n.....g...🤣🤣🤣🤣🤣ndio labda utaacha baba.
May be bt baada yakuona anafeel vbaya kuhusu kukaa bila kazi nilimshauri ajiendeleze hivyo akarudi chuo familia nzima tukamsupport na akafanya vzr first term baada ya hapo ndo majanga yakaanza pombe,sigara na usikute na bangi anavuta pia yaana tafrani
Mpige tukio kma la mama jYaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile.
Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
Kujiuwa sio suluhu .. huyo ni mpwekeYaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile.
Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
Hapo kwenye mdomo atueleze vizuri. Wanawake wana tabiaNa akiiacha pombe anaanza umalaya.
Kila kitu kina alternative. Jua ulevi wa kupitiliza wa pombe ni mbadala wa kwenda kutafuta wanawake.
We ngoja aache Kama hajaanza kuleta watoto wa nje.
Cha msingi ongeza upendo. Asipooga , muogeshe, akishindwa kula mlishe na n.k.... atapunguza mwenyewe kwa aibu akiona anapendwa. Ila Kama una mdomo haachi na akiiacha jiandae kuwa mke mkubwa.
Pole sana,ukisema ndoa siye wakubwa tunakuelewa...Yaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile.
Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
Well were not that young bt shule tulihitimu miaka kadhaa iliyopita hivyo nikaona sio mbaya kama akijiendeleza zaidi ili kujikwamua kiuchumi na kuhusu likizo hilo naliwaza sana bt demands zake zipo juu sana pale linapokuja swala la likizo na zinaniumiza sometimes so huwa naona bora to have fan home tu au shopping flani hv ambayo inalingana na kipato changuInaonekana you are still young
Don’t get me wrong ni hapo uliposema mlim support kwenda chuo
Hebu chukua hata holiday kidogo mbadili mazingira hayo kama unaweza
Usitumie force kwake bali ushauri na kumpa nguvu ya kufanya kazi ni muhimu
Yote yanawezakana mkuu may be me ndo chanzo though sidhani kama mm ndo chanzo moja kwa moja nina miaka mingi na huyu bwana almost 10 yrs now he was very wonderful person na for 5yr sikujua kama anakunywa pombe nilikua nasikia tu bt tukatengana kwa muda then niliporudi ndo nikaja kujua upande wake wapili nikajipa moyo kuwa ni yule yule loving and caring person bt haikua hivyo zaidi nikashuhudia kuona anakunywa kupota kiasi na sigara juu hata nilipofanya maamuzi ya kutengana nae tena alikiri ku adilika japo huwa hafanyi hivyo kwangu imekua mateso coz nishazaa nae i wish the best for my children sijawahi kuwa na ndogo za kuwa single mom dat why nahangaika nione kama notashinda hili bt ikishindikana all is wellNaona mnampa pongez huyo mwanamke kwamba anamjali mme wake,ila kiuhalisia hyo ndoa yenu inachangamoto kias kwaamba mwanaume ameamua amalizie stess zake kwny pombee!!jitathmin kama ulimkuta anakunywa kistaarabu ila baada ya kukoa kaamua kuwa mlevi ujue kuna %flan unachangia kumfanya awe vile..
Sijui kama anatujali kwakweli ila kwa mtazamo wangu kwa sasa naona anajijali mwenyewe tu japo huko nyuma ni mtu ambae alikua ananijali sana bt toka tuwe na familia ni kama mambo yamebadilikaKama bado anajali familia pamoja na kunywa pombe zake nakushauri mfungulie tu mlango anapotoka kulewa hajalishi ni saa ngapi karudi.