Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

Jamani wana jamii,

Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
Mtu kishafikishwa kilele cha kilimanjaro unataka achati nini sasa. Acha mtoto wa watu alale bana.
 
Jamani wana jamii,

Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
Dada zetu Ni watu ambao wanapendwa kubembeleza Kwa alie kupenda atazingatia ratiba zako you need creat distance ili aone umuhimu wako atakutafuta keep distance
 
Most of the time guys tunakua interested na tunachokitamani kuliko tulicho pangiwa pengine Kwa Akili zng ndogo nahs UNAHITAJI kuwekeza Kwa mwenye utashi na muda ukakupa jibu you need time
 
Jamani wana jamii,

Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?

Kwa mapenzi hakuna kitu kinaitwa MOOD. Thats why initial emotional of any relations are our comfort zone always.

Ukiona anakuambia mudi hayupo ujue kuna mohamedi yupo hapo.

Hatua ya kwanza muache kwa muda amalizane na mohamedi kisha mudi atakuja. Ukiona mudi hayupo na harejei jiongeze zaidi hisia zimeanza kufa, kuna alichotarajia kwako na hakukiona.

We Are Born To Live & To Live Is To Enjoy.
Enjoy..!!!
 
Back
Top Bottom