Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Kaka namuambia aondoke kwa sababu ya ukimwi. Umalaya matokeo yake ni ukinwi. Hiyo stress atakayopata baada ya kuathirika ni kubwa kuliko kuendelea kukaa na mwanaume malaya.

Pia inamtoa kwenye nuksi...kusgare penzi na kiruka njia ni laana.
 
Aisee bongo wanawake nimeamini ni waoga kupitiliza....yaani wapo tayari waambukizwe magonjwa na waume zao kisa kutunzwa🤔🤔🤔🤔
Shida sana mkuu. Yaani uchepuke waziwazi niendelee kubaki na wewe, hapana aisee.
 

Acha nyenyenye
 
Huu ushauri utamfaa sana sasa kazi kwake
 
Siku zote mwanamke anaetaka kushindana na mwanaume hushindwa mwenyewe.

Kwani umelazimishwa kuwa nae,kama hupendi tabia yake achana naye
 
Shida sana mkuu. Yaani uchepuke waziwazi niendelee kubaki na wewe, hapana aisee.
Kama umri bado ni early 30s unaweza kuamsha, but think uko at mid 40 uone ilivyo issue kupata jamaa wa kukukata kiu.

Utaishia kwa boda wasiojielewa na watakutangaza vijiweni kwamba hii maza ni maharage ya mbeya then heshima uliyoipambania hutoipata na huduma kwa pamoja. Hasira ya kuachana hupoa mapema na majuto ya upweke hudumu
 
Wewe ni mjinga.Kama unaumia ondoka ila ukifikiri kwamba ukigawa ndo ataumia hapana.Bali utampa ushahidi kwamba yuko sahihi
 
Kama umechepuka Bado hajaumia kilichobaki ni wewe kufa
 
Mumeo anaishi na weww kwa sababu ni mke wake na umezaa nae ukute upendo na weww ushaisha na anakutafutia sababu. AKIJUA UNACHEPUKA HIYO NDIYO TIKETI YENU YA KUACHANA YEYE HATOUMIA ILA KAPATA SABABU YA KUACHANA NA WEWE.

Na weww itakuuma zaidi ya hapa. Chagua muachane au umvumilie kama unampenda hayo matendo yake.
 
Wanakwambia kwa ajili ya watoto na kwamba wanaume ni wale wale wote uchepuka🤣🤣🤣
Kwa kweli kwa hizi mentality ndio maana wanaume tunawafira wake zetu🤣🤣🤣🤣
Duuu acha hizo. Ndoa zenye migogoro huathiri sana watoto. Bora mtengane ili libaki jukumu la kulea watoto pamoja
 
Mtaleteana magonjwa ndani. Tafuta sulotion hata mlipofungia ndoa, ujue nini kinamtoa nje pia
 
Upendo haujawai kuisha wala kupungua. Hapo kuna jini mkata kamba kamvaa mume wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…