Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Kweli kbsa.
Lakn by necha wanaume hua tuna kaustaarabu pale tunapoona huyu mwanamke ana value kubwa kwetu rather than jus punani. Huyo tunaogopa kumpoteza.
But tukikosa amani ndani ya nyumba, ikitokea digidigi huko nje n mwendo wa "sukuma ndani" ukuni
Eti digidigi[emoji38]
 
Ndoa hizi aisee!!
Kila mtu analia kivyake, huyu analia hivi mwingine analia vile, ilimradi iwe ni kilio tuu.

Mleta mada usitafute la kufanya zaidi ya kupuuza kila kitu, yaani puuza kila kitu kila jambo.

Usichukulie maanani chochote, wewe kwako chochote kiwe ni upuuzi, utaishi kwa amani sana.

Wakati wewe ukiwa inalia na hili lako ambalo nalo ni gumu kwa kiasi chake kuna wengine tunalia kivyetu huku na machozi yamekwisha kauka yakatoka tena yakakauka na tunasonga mbele.

Usije hata wakati mmoja kutaka kupata furaha na amani kutoka kwa binadamu mwenzako hata kama ni nani !

Kwa binadamu mwenzako tazamia maumivu tuu, sasa ili usiumie wewe puuza tu kila kitu.

Hata hivyo pole sana Mungu wetu akujalie wepesi na amani .
 
Ntakueleza Story ya Sister wangu kwa Ufupi, kama itakusaidia fanya alivyofanya, kama haitakusaidia, endelea na njia zako!

Sister wangu kaolewa na Mwanaume ambaye walianza Uchumba wakiwa Vijana, Mungu akafungua milango Mme wake akapata pesa mpaka sasa ni Tajiri Mkubwa...!

Miaka ya nyuma akagundua Mme wake ana kamchepuko, ikawa ni Ugomvi kila siku, mmewe mtu wa Mitungi, kurudi saa 6 usiku saa 8 Usiku kawaida, japo anasema pamoja na Mmewe kuchepuka hajawahi kulala nje!

Kuna siku anasema akaanza kujiuliza, Mbona Mumewe ana hudumia familia Vizuri, kamnunulia Gari ya kutembelea, Maendeleo anayaona siku mpaka siku, anamshirikisha kwenye Biashara zake, kamfungulia Biashara, anasomesha Watoto shule za gharama, kwani yeye kama Mwanamke anataka nini zaidi....!?

Akaona Vurugu zote alizokuwa anafanya ni Ujinga, akaamua kuacha kumfatilia, akirudi saa 6 hewala, akienda kushinda na mchepuko wake siku nzima shauri yake, Muhimu anajali familia yake!

Toka achukue uamuzi huo amekuwa na Amani, ana enjoy Maisha yake na Mmewe na familia yake!!!

NB.
Kama Mumeo angekuwa haudumii familia, halafu kazi ni kubadilisha michepuko, hapo ingekuwa tatizo!
Kama anahudumia familia.....! Usishindane na Mwanaume, angalia mambo ya familia yako kama yanaenda!
 
Ukitaka kumuumiza mumeo ni kuwa mwanamke bora kwa ajili yako mwenyewe na watoto wako. Sasa hata ukiw fucked na majini kama hakupendi hawezi kuumizwa ila unajichafua mwenyewe. One of my ex girlfriend told me atafanya umalaya anikomoe. So stupid acha kuchafua mwili wako kwa ajili ya kumfurahisha watu wengine, so shallow. .
 
Ntakueleza Story ya Sister angu kwa Ufupi, kama itakusaidia fanya alivyofanya, kama haitakusaidia, endelea na njia zako!

Sister angu kaolewa na Mwanaume ambaye walianza Uchumba wakiwa Vijana, Mungu akafungua milango Mme wake akapata pesa mpaka sasa ni Tajiri Mkubwa...!

Miaka ya nyuma akagundua Mme wake ana kamchepuko, ikawa ni Ugomvi kila siku, mmewe mtu wa Mitungi, kurudi saa 6 usiku saa 8 Usiku kawaida, japo anasema pamoja na Mmewe kuchepuka hajawahi kulala nje!

Kuna siku anasema akaanza kujiuliza, Mbona Mumewe ana hudumia familia Vizuri, kamnunulia Gari ya kutembelea, Maendeleo anayaona siku mpaka siku, anamshirikisha kwenye Biashara zake, kamfungulia Biashara, anasomesha Watoto shule za gharama, kwani yeye kama Mwanamke anataka nini zaidi....!?

Akaona Vurugu zote alizokua anafanya ni Ujinga, akaamua kuacha kumfatilia, akirudi saa 6 hewala, akienda kushinda na mchepuko wake siku nzima shauri yake, Muhimu anajari familia yake!

Toka achukue uamuzi huo amekua na Amani, ana enjoy Maisha yake na Mmewe na familia yake!!!

NB.
Kama Mumeo angekua haudumii familia, hafu kazi ni kubadirisha michepuko, hapo ingekua tatizo!
Kama anahudumia familia.....! Usishindane na Mwanaume, angalia mambo ya familia yako kama yanaenda!
Umeongea UKWELI mtupu,
Tatizo wake zetu wanadhan tunachepuka Kwasababu hatuwapendi.

Kumbe ile Ni starehe TU na upendo wetu uko pale pale na maisha ya furaha Lazima yaendele[emoji4][emoji106]
 
  • Endelea kujidhalilisha! Naamini unakaribia au una miaka 40+.
  • Na wanaume wengi wanakufa mapema; unaachwa bila hata msingi wa maisha.
  • Shtuka!
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.

Yaani wewe unataka kumgeuza shetani awe malaika, haiwezekani, kama alikuoa na alikuwa malaya, usitegemee aache umalaya, kikubwa achana nae, ukae peke yako au uolewe au uwe na mwanaume mchepuko wako.
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Ungekuwa unachepuka kimyakimya tungechekiana ili unichepukie ila tatizo unataka mara sijui picha au video ili umkomoe hapo hapana.

Kimyakimya sawa nitafute pm
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukitaka usichepuke rais sana life style hii ukitoka mihangaiko nenda kwako kacheze watoto kama unao kama huna kacheze na mkeo ,au pitia kibanda umiza kucheck mpira lakini sijui unaenda bar huko ndo balaa
[emoji117][emoji13]
 
Naunganisha codes nimeshakujua we Jamaa, tena ni Rafiki yangu wa karibu sana kama Ndugu uko jijini Dar [emoji6][emoji847]
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Usifanye chochote tafadhali.. Wakati si milele.. Utafika wakati hawezi kuchepuka tena kwa sababu zozote zile halafu ndio itakuwa wakati wake wa kujuta na kusaga meno mpaka mdomo uume
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Mtumie video ukiwa unanyanduliwa.

Tena jamaa apige miguu yote.

Siyo tu kwamba ataumia bali .moja wenu anaweza kubisha geti la Mbingu
 
Back
Top Bottom