Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

poSi bora hata wewe unaweza kuchepuka?, means you are young and attractive, wenzako hawawezil

pole sana mkuu, mimi nakushauri uachane na mumeo,

huu muda unaoumaliza kutafta kumuumiza mumeo ungejiweka available and right person angekuja kwenye maisha yako,

Acha kujibamiza ukutani mkuu and stop being in unhealthy relationship, psychological damage ya kukaa kwenye unhealthy relationship consequences zake zinaweza kuwa kubwa zaidi na ukapoteza kila kitu...

Tatizo Kingsmann anamwagaga madini humu ila lakini hili sijamuona, mnaweza mkaanza future pamoja,lol.

.
 
Kila nikijaribu kuutafakari wivu, huwa nafikia hitimisho kwamba ni aina ya roho mbaya!

Mtu mwenye wivu sana ni mtu mwenye roho mbaya, unless, kama una namna nyingine ya kuutafakari wivu unaweza kunijulisha.
Ndo hivyo
 
Ukute upendo na wewe umeshuka sana utajitesaa buree, wanasema ukitaka visasi chimba kaburi 2 sababu wewe pia inaweza kuwa anguko lako.
 
Usithubutu kumuonyesha una bwana wanaume tuna wivu sana ndo utakua mwisho wako
 
Usithubutu kumuonyesha una bwana wanaume tuna wivu sana ndo utakua mwisho wako
Mimi ni mwanamke lakini ninajua wanaume sio tu wana wivu..Bali pia majeraha yao hayaponi kila mara jeraha linaubichi.tena ishu yenyewe ya mapenzi hakika huyu mwanamke akifanya huu upuuzi hataamini macho Yake dunia itakavyomgeukia
 
Njoo tujirekod tukifanya harafu tuizindue kama royal tour kila mtanzania aione.
 
Hapo nilipobold….usifikiri ni parahisi
Yes Kwa kuongea tu..ni parahisi mno mno
Jiulize swali atakaa tu aumie kwa maumivu kaa ukijua akifa faraja kwa watoto wake ni yeye sio mume siku zote . Kwa hiyo maisha ni magumu sana sana .
Achana na maisha ya ndoa sijui kama umewahi sijui kukaa na mwanaume kwake nanikila siku ila hakuoni upo anakutumia kama malaya wengine .

Nausije ukaona ni poa unamuhangaikia mtu asiyekuhangaikia hii kitu iliniumaga sana unakaa hadi asubuhi kwenyw kochi mtu hatokezi anakuja kutokeza saa nne asubuhi kalewa njwi .

Wewe mwanamke ukiwa na malaya wa sampulii hizi za huyu mtu unatamani ardhi ipasuke .
Usiombee uishi na mtu malaya .
 
Alfu kipindi unachepuka mume alijjuwa na haja kuletea shida ?

Bas huwenda huna mvuto umefanan na Regina wangu tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kila nikijaribu kuutafakari wivu, huwa nafikia hitimisho kwamba ni aina ya roho mbaya!

Mtu mwenye wivu sana ni mtu mwenye roho mbaya, unless, kama una namna nyingine ya kuutafakari wivu unaweza kunijulisha.
WIVU unapelekea CHUKI

CHUKI ikizidi mtu anakuwa na ROHO MBAYA

ROHO MBAYA inamfanya mtu amtakie mwenzake KIFO, KUTOFANIKIWA, KUMROGA na mambo mengine mabaya mabaya tu ili mradi aone anateseka
 
Kila nikijaribu kuutafakari wivu, huwa nafikia hitimisho kwamba ni aina ya roho mbaya!

Mtu mwenye wivu sana ni mtu mwenye roho mbaya, unless, kama una namna nyingine ya kuutafakari wivu unaweza kunijulisha.
Mkuu,
We huna wivu mkeo akichepuka?!
 
poSi bora hata wewe unaweza kuchepuka?, means you are young and attractive, wenzako hawawezil

pole sana mkuu, mimi nakushauri uachane na mumeo,

huu muda unaoumaliza kutafta kumuumiza mumeo ungejiweka available and right person angekuja kwenye maisha yako,

Acha kujibamiza ukutani mkuu and stop being in unhealthy relationship, psychological damage ya kukaa kwenye unhealthy relationship consequences zake zinaweza kuwa kubwa zaidi na ukapoteza kila kitu...

Tatizo Kingsmann anamwagaga madini humu ila lakini hili sijamuona, mnaweza mkaanza future pamoja,lol.

.angalia hili limwanamke na ushauri wake.. wanawake wengine ni wajinga miaka kumi unampa ushauri huuu
a
 
Back
Top Bottom