Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Write your reply...Sisemi ni wewe Ila mabinti mnaotoka na waume za watu karma is bitch utaolewa mwanaume. ataoverkuchepuka kupindukia maana kukuta asiyechepuka nayo ni kuokota chungwa kwenye maembe.

Na ukimlilia Mungu atakukumbusha tu namna ulikuwa ukitesa wenzako Kwa kuchukulia waume zao, acheni waume za watu jamani
 
Jiulize swali atakaa tu aumie kwa maumivu kaa ukijua akifa faraja kwa watoto wake ni yeye sio mume siku zote . Kwa hiyo maisha ni magumu sana sana .
Achana na maisha ya ndoa sijui kama umewahi sijui kukaa na mwanaume kwake nanikila siku ila hakuoni upo anakutumia kama malaya wengine .

Nausije ukaona ni poa unamuhangaikia mtu asiyekuhangaikia hii kitu iliniumaga sana unakaa hadi asubuhi kwenyw kochi mtu hatokezi anakuja kutokeza saa nne asubuhi kalewa njwi .

Wewe mwanamke ukiwa na malaya wa sampulii hizi za huyu mtu unatamani ardhi ipasuke .
Usiombee uishi na mtu malaya .
Utaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.

Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.

Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.

Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.

Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.

Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?

Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.

Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako

🥂🥂
🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Kama hakupendi kamwe hawezi umia juu yako.
Ama lah sio mtu anaezingatia sana mambo ya mahusiano, hayachukulii serious saana kama wewe.

Utamcheat atajua na atachukulia poa coz ana wanawake wanaocheat waume zao kwa ajili yake.

Utaacha sim makusudi afume texts, wala hata asikuulize akajua tu boya kawrong no.

Utafanya zengwe akufume chumbani kwenu, ATAKUTIMUA NA HATOTAKA USULUHISHI.

Utarudi tena jf na sisi tutakupa pole na matusi, kejeli na vimbwenga vya jf kibao.
 
dada umemaliza kila kitu,akifata ushauri huu atakuja kukushukuru badae,
Sasa hivi yupo kwenye mateso sana yawezekana asipate cha kujifunza kile ambacho akili na mawazo yake inamategemeo ya kukipata

Very sad💔💔💔
 
Utaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.

Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.

Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.

Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.

Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.

Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?

Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.

Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako

🥂🥂
🤸‍♀️🤸‍♀️
Bonge la komenti, JF sasa hivi imejaa wife materials tu, vijana washindwe wenyewe... siungi mkono vitendo vya uzinifu, tuungane kuvipiga vita.
 
Mi ninachopenda mambo haya ya ndoa bhana mumeo anaweza kusimulia habari zote za Wana wake anaowabandua Lakini hapo hapo kutokana na story zake kisimi kikavimba ghafla na kutaka akupige miti hapohapo.

Unahudumiwa unaangaika nae wa nn? Sema tunachoogopa ni ukimwi kuingia ndani but lasivyo, aagrhh,mwache abadilishe mboga atachoka mwenyewe.
 
Bonge la komenti, JF sasa hivi imejaa wife materials tu, vijana washindwe wenyewe... siungi mkono vitendo vya uzinifu, tuungane kuvipiga vita.
Asante mkuu.😊😊

Ni ndoa ndio zimekuwa adimu ila material tunayo.🤣🤣🤣🤣
 
Utaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.

Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.

Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.

Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.

Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.

Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?

Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.

Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako

🥂🥂
🤸‍♀️🤸‍♀️
Neno Sana cute
 
Fika ofisini kwetu Sinza Mapambano mkabala na shule ya msingi, tunatoa huduma za kutafutia michepuko wanawake kama wewe na kuandaa matukio ya kuwaudhi waume zenu...
 
Kacheze picha ya x kabisa, halafu mule uwe unaulilia ukuni, "weka yote, we ndio kidume, unanitafuna vizuri kuliko mume wangu,, we mwanaume huu ukuni umeupaka asali au, mbona mtamu hivi, sitaki sh 10 yako, hili ndonga lako pekee lina thamani ya dola bilioni 5, ndonga pekee yake inazidi utajiri wa bakhresa,"

Ili hiyo scene inoge itabidi tuigize mimi na wewe 😂🤣
 
Unajua nini,anakupenda ndio mana akakuoa,
Tuliza boli jion kuku wako atarudi bandani...
Zidisha mapenzi...

Chepuka ajue akutimue
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Kaliwe jicho... Then ajue
 
We hujui mwenzako kashakuchoka anakutafutia sababu we jichanganye.
 
Back
Top Bottom