Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

Hapo ni kutulia kwanza na kusonga mbele taratibu. Wape taarifa ndugu zako wa karibu kwa sasa ili wasishtuke au kushangaa ikiwa watakuja kujua baadaye. Hakuna lililoharibika, hayo ni maisha tu kwa mwanaume. Kubali kuwa ulikosea na hupaswi kuja kurudia hilo kosa.

Kuna uwezekano wa 99% baada ya miaka miwili yule mwanamke akatamani tena kurejea kwako, usishangae na usije ukakubali.
 
Soma sheria ya ndoa.
Shtaki huyo tapeli uliyemuoa. Piga faini iliyotakata kisha achana naye.

Kingine, ukipata mwanamke mwingine, be a Man
 
Kama keshabadili dini na kuolewa huyo sio mkeo tena..
Anaruhusiwa kumshtaki kwa utapeli na huyo mwanaume aliyemuoa ana kesi ya tresspassing.

Anawadai fidoa ya mamilipn kosha anawaacha wafurahie maisha yao
 
Bro pole sana, Toka ndani fanya mambo Yako kwa amani, huyo hakuwa riziki, utapata mwingine anayekufaa, wanawake ni viumbe wa ajabu mno na ukitaka kuwafahamu itakuchukua muda, nikutie moyo tu , hauko peke Yako, ningekuwa na muda wa kutosha ningekusimulia masaibu yangu ya ndoa ya mwaka mmoja na nusu tuliyoifanya kwa gharama kubwa sana lkn ikapepea kama upepo...nilikonda sana, nilikuwa na kg 90 nikapoteza kg 18 lkn inshallah nimepata nguvu mpya, niko kitaa najitafuta upya, though nmejifunza kutulia kwanza na kama familia haitakuwa riziki basi pia nitashukuru.....breath in breath out .you are not alone endelea mbele, unaweza kunicheki pm pia tukaongea zaidi .....
 
Mkuu kila kitu jinahitaji mchakato,.chakato wa kumpata mwenza wa mda mrefu uheshimiwe.

Pia ukioa kwa kutumia neno PhD, Uingereza, status ya familia utaburuzwa sana huko ndani hadi ukome.

Mke akupende ulivyo na tena akupende akijua huna kitu kwa mfano, huyo ndo mke
 
Sema chap uko wapi wachumba tuje kwa kasi ya ajabu, msimu wa mvua ndo huu unaanza anza.....huo muda wa kukaa kulaumu laumu unajichelewesha tu mchumba.

Uko uingereza sahivi? Au uko wapi
 
Hakuna tena ndoa hapo
 
PHD holder,

Unakazi yako,

Hujafumaniwa Wala hujamtendea kosa LOLOTE,

Unachanganyikiwa na Nini??

Mchukue huyo shangazi yako ,
Pia waeleze wazazi wako muende kwao ukawape hiyo habari, na UDAI KURUDISHIWA MAHALI YAKO.

KISHA TULIA UJE UTAFUTE MKE SAHIHI.

MUNGU ANAKUPENDA KAKUFUNULIA UJIONEE MWENYEWE JE USINGEJIONEA UNGEKUJA KUFA NA UKIMWI
 
Pole
 
Pole sana mkuu vipi ndio huyu huyu uliyemfumania ama..... Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?
 
aisee too bad
 
Wewe mpuuzi umesahau juzi hapa ulileta uzi huu

 
Kazi kweli mkuu uwezi kulazimisha mapenzi yaani kwa stori yako mwanamke alishatuonyesha mda mrefu sana kuwa hakutaki sema na wewe ulikuwa kinganganizi pole sana mkuu kwa ushauri wangu msahau huyo sio wako tena na nazani umeshajifunza jambo hapo wanawake sio wa kuamini wa kumwamini wa kwanza ni mungu wa pili ni wazazi wako hio stori haijapishana sana na yangu na Mimi kwa sasa mapenzi nimeyaweka kando natafuta pesa na nikikutana na mwanamke Niko kingono sana lakini sio upendo
 
Mleta mada,kwanini akili yangu inaniambia wewe haukusoma Uingereza?

Yaani hata mada sijaimaliza lakini kichwani kunalia alarm kwamba huyu mleta mada hiyo kwenda kusoma nje ameiweka tu kama kibwagizo asionekane hamnazo sana.
Halafu story kavu sana Haina hata swag za mbele?!? Lazima tu angechomekea ishu ya mbele kama kweli kakaa huko.
 
Ni Rahisi sana- Kama mbwahi na iwe mbwahi- kamfungulie huyo bwana kesi ya Madai… atatembeaje na Mke wa mtu Kwa kujimwambafai hivyo?
Umesema ukifunga ndoa, tena ya kikatoliki? Tangu lini mke mmoja awe na Ndoa mbili tena wakati mmoja?
Jiongeze mzee baba … humu jf utapigwa tu madongo na hiyo phd yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…