Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Nahitaji msaada wakuu nisaidieni yeyote anayefanya kazi uhamiaji kurani au anamfaham MTU yuko pale naomba msaada wenu kuna MTU anataka kuzima ndoto zangu.
Nilipata mishe nje hivyo nikaenda kuomba passport. Lakini mzazi hakupenda jambo hili.nilipoenda nikaambiwa niwape namba ya mzazi wamhoji bas ili kunihalibia baba aksema mm chimbuko langu ni burundi.
Hivyo basi madai hayo Mimi nikakanusha sabab familia naijua kwahyo ikabidi nilete mzazi wa kike yani mama .alipohojiwa yakaisha. Sasa changamoto ipo kwa yule jamaa aliyenihoji bado anashililia kauli za baba sabab anasema niombe uraia na wakati nimezaliwa hapa pia wazazi wote wamezaliwa hapa.jamani mwenye utu na aliyegushwa na jambo hili naomba msaada