Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

ni wapi na nikisema kesho unionyeshe aliyeshikilia nyaraka zako na kukuomba hyo rushwa uko tayari kunionyesha? if is yes nitumie no yako kesho tukutane twende the rest niachie mie

kuna mambo tunatakiwa kutokuyafumbia macho kwani wale wako pale kwa ajili ya kutuhudumia sisi kama wananchi mishahara yao na kila kitu kinaendeshwa kwa kodi zetu.
Hongera sana mkuu kwa kuonyesha uzalendo wa kumpambania dogo!.
 
ni wapi na nikisema kesho unionyeshe aliyeshikilia nyaraka zako na kukuomba hyo rushwa uko tayari kunionyesha? if is yes nitumie no yako kesho tukutane twende the rest niachie mie

kuna mambo tunatakiwa kutokuyafumbia macho kwani wale wako pale kwa ajili ya kutuhudumia sisi kama wananchi mishahara yao na kila kitu kinaendeshwa kwa kodi zetu.
Kukuonesha naweza kukuonesha lkn ushahidi itakuwa ngumu sabab yalikuwa mazungmzo ya face to face na sikutegemea kama mambo haya yangetokea
 
Kukuonesha naweza kukuonesha lkn ushahidi itakuwa ngumu sabab yalikuwa mazungmzo ya face to face na sikutegemea kama mambo haya yangetokea
kijana ulichoandika hapa si kina ukweli? na unahitaji msaada?

kama ni hivyo nitumie no zako na ujiandae kesho asubuhi twende sehemu husika upate msaada the rest niachie mie but nitahitaji twende ote kwa huyo ofisa wa uhamiaji wala usiogope
 
Nahitaji msaada wakuu nisaidieni yeyote anayefanya kazi uhamiaji kurani au anamfaham MTU yuko pale naomba msaada wenu kuna MTU anataka kuzima ndoto zangu.

Nilipata mishe nje hivyo nikaenda kuomba passport. Lakini mzazi hakupenda jambo hili.nilipoenda nikaambiwa niwape namba ya mzazi wamhoji bas ili kunihalibia baba aksema mm chimbuko langu ni burundi.

Hivyo basi madai hayo Mimi nikakanusha sabab familia naijua kwahyo ikabidi nilete mzazi wa kike yani mama .alipohojiwa yakaisha. Sasa changamoto ipo kwa yule jamaa aliyenihoji bado anashililia kauli za baba sabab anasema niombe uraia na wakati nimezaliwa hapa pia wazazi wote wamezaliwa hapa.jamani mwenye utu na aliyegushwa na jambo hili naomba msaada
Wewe chimbuko lako ni wapi?
 
Kuzaliwa Tanzania hakukufanyi kuwa Mtanzania,elezea vizuri asili ya wazazi wako wote wawili
 
Baba mwanzo alijua kwamba motto akishaenda nje ndo basi tena yani atahalibika .ndo changamoto kwahyo nilkaa naye nikamweleza vizuri akaelewa pia kuna migogoro kati ya mama na baba lkn tulikaa kifamia yakaisha.shinda huyu jamaa
Toa Hela huyo anataka hela mpe hela akupe hitaji lako Nchi hii inanuka RUSHWA kila eneo
✍️
 
Kama mmoja wa mzazi ni Mtanzania kuzaliwa Tanzania Kuna kupa haki ya kuwa Mtanzania.
Raia wa nchi mbili hadi ukifika mwisho miaka 18 unabaki na uraia wa nchi utakayo chagua.
 
Watoto wanahesabika kuwa watanzania baada ya baba Yao kupata cheti Cha uraia.
Kama ulizaliwa kabla ya baba ajapata cheti wewe sio raia hata Kama ulizaliwa Tanzania hadi uombe uraia.
 
Back
Top Bottom