Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

Watoto wanahesabika kuwa watanzania baada ya baba Yao kupata cheti Cha uraia.
Kama ulizaliwa kabla ya baba ajapata cheti wewe sio raia hata Kama ulizaliwa Tanzania hadi uombe uraia.
Sheria ya wapi hii?
 
Ila haya mambo bhana eti mzazi anadanganya ili jambo lako lisifanikiwee??? yanii shwain kabisaaaa...wazazi wengine ni wapuuzi
 
Halafu ukifanikiwa huko uendako,huyo mshua wako atalaumu eti unampendelea Mama yako tu!

All the best Mkuu.
 
Cbeti kipi, kama ni chakuzaliwa basi jua cheti cha kuzaliwa sio kithibitisho kuwa wewe ni raia ya Tz.
Cbeti kipi, kama ni chakuzaliwa basi jua cheti cha kuzaliwa sio kithibitisho kuwa wewe ni raia ya Tz.

Ushauri kafanye mchakato mkoa mwingine

Ushauri kafanye mchakato mkoa mwingine
Nida na kuzaliwa pia vyote vipo
 
Niliambiwa nikachukue 24/5/2023
Pia kwenye system aliyeshikilia ni yule afisa aliyenihoji.sabab yeye anadai Mimi siyo raia kwahyo anampelekea taalfa pco na pco hawezi kufanya maamuzi sabab taalifa anapokea kwa yule jamaa wa mwanzoni
Malizana nae tu si amekwambia umalizane nae kunjua roho mpe hela yake potea mawinga wapo kila sehemu Nchi hii wewe mpe chochote kitu pata passport yako potea kwani shilling ngap tukuchangie?
✍️
 
Malizana na huyo Mzee wako labda anahisi hautarudi endapo utaipata hiyo hati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kifamilia yameisha kabisa sabab ilinibidi nitafute wazee wengine 3 wamueleweshe mzee .sasa mzee amelewa somo ndo kashavuruga.yeye alizani mtoto akishaenda kule ndo kapotea sabab now kuna ushoga na mambo mengi
 
Malizana nae tu si amekwambia umalizane nae kunjua roho mpe hela yake potea mawinga wapo kila sehemu Nchi hii wewe mpe chochote kitu pata passport yako potea kwani shilling ngap tukuchangie?
✍️
Mwanzo alitaka pesa Mimi nikasema sina now namwambia pesa yeye anagoma kwahyo ni mwendo wa kukomoana.lkn naimani mungu yupo haki itatendeka tu
 
Mwanzo alitaka pesa Mimi nikasema sina now namwambia pesa yeye anagoma kwahyo ni mwendo wa kukomoana.lkn naimani mungu yupo haki itatendeka tu
Kwa hio na Pesa kagoma hataki anataka kuchapwa makofi kwa njia ya Simu ? Ipigwe simu moja tu ndio akuelewe au sio ?
✍️
 
Kwa hio na Pesa kagoma hataki anataka kuchapwa makofi kwa njia ya Simu ? Ipigwe simu moja tu ndio akuelewe au sio ?
✍️
Jamaa ananikomoa tu hakuna ukweli sabab sidhani kama kuna mwizi anajipeleka kituoni .kama Mimi ningejua kwetu ni Burundi sidhani kama ningekuwa nahangaika kwenda uhamiaji
 
Back
Top Bottom