Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

Hongera sana mkuu kwa kuonyesha uzalendo wa kumpambania dogo!.
 
Kukuonesha naweza kukuonesha lkn ushahidi itakuwa ngumu sabab yalikuwa mazungmzo ya face to face na sikutegemea kama mambo haya yangetokea
 
Kukuonesha naweza kukuonesha lkn ushahidi itakuwa ngumu sabab yalikuwa mazungmzo ya face to face na sikutegemea kama mambo haya yangetokea
kijana ulichoandika hapa si kina ukweli? na unahitaji msaada?

kama ni hivyo nitumie no zako na ujiandae kesho asubuhi twende sehemu husika upate msaada the rest niachie mie but nitahitaji twende ote kwa huyo ofisa wa uhamiaji wala usiogope
 
Wewe chimbuko lako ni wapi?
 
Kuzaliwa Tanzania hakukufanyi kuwa Mtanzania,elezea vizuri asili ya wazazi wako wote wawili
 
Baba mwanzo alijua kwamba motto akishaenda nje ndo basi tena yani atahalibika .ndo changamoto kwahyo nilkaa naye nikamweleza vizuri akaelewa pia kuna migogoro kati ya mama na baba lkn tulikaa kifamia yakaisha.shinda huyu jamaa
Toa Hela huyo anataka hela mpe hela akupe hitaji lako Nchi hii inanuka RUSHWA kila eneo
✍️
 
Kama mmoja wa mzazi ni Mtanzania kuzaliwa Tanzania Kuna kupa haki ya kuwa Mtanzania.
Raia wa nchi mbili hadi ukifika mwisho miaka 18 unabaki na uraia wa nchi utakayo chagua.
 
Kama mmoja wa mzazi ni Mtanzania kuzaliwa Tanzania Kuna kupa haki ya kuwa Mtanzania.
Raia wa nchi mbili hadi ukifika mwisho miaka 18 unabaki na uraia wa nchi utakayo chagua.
Noted
✍️
 
Watoto wanahesabika kuwa watanzania baada ya baba Yao kupata cheti Cha uraia.
Kama ulizaliwa kabla ya baba ajapata cheti wewe sio raia hata Kama ulizaliwa Tanzania hadi uombe uraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…