Sheria ya wapi hii?Watoto wanahesabika kuwa watanzania baada ya baba Yao kupata cheti Cha uraia.
Kama ulizaliwa kabla ya baba ajapata cheti wewe sio raia hata Kama ulizaliwa Tanzania hadi uombe uraia.
TzaSheria ya wapi hii?
Cbeti kipi, kama ni chakuzaliwa basi jua cheti cha kuzaliwa sio kithibitisho kuwa wewe ni raia ya Tz.Nina cheti kabisa
Sure Kigoma Burundi moja asili chimbuko Mzee kasema ukweli asije kupigwa pin baadaeYawezekana baba yako hajadanganya
Mpakani pale kuna mengi uamiaji uenda hata kukagua wachezaji wa timu km ni watanzania au waburundi/wanyarwandaHalafu ukifanikiwa huko uendako,huyo mshua wako atalaumu eti unampendelea Mama yako tu!
All the best Mkuu.
Nida na kuzaliwa pia vyote vipoCbeti kipi, kama ni chakuzaliwa basi jua cheti cha kuzaliwa sio kithibitisho kuwa wewe ni raia ya Tz.
Cbeti kipi, kama ni chakuzaliwa basi jua cheti cha kuzaliwa sio kithibitisho kuwa wewe ni raia ya Tz.
Ushauri kafanye mchakato mkoa mwingine
Ushauri kafanye mchakato mkoa mwingine
Malizana nae tu si amekwambia umalizane nae kunjua roho mpe hela yake potea mawinga wapo kila sehemu Nchi hii wewe mpe chochote kitu pata passport yako potea kwani shilling ngap tukuchangie?Niliambiwa nikachukue 24/5/2023
Pia kwenye system aliyeshikilia ni yule afisa aliyenihoji.sabab yeye anadai Mimi siyo raia kwahyo anampelekea taalfa pco na pco hawezi kufanya maamuzi sabab taalifa anapokea kwa yule jamaa wa mwanzoni
Mambo ya kifamilia yameisha kabisa sabab ilinibidi nitafute wazee wengine 3 wamueleweshe mzee .sasa mzee amelewa somo ndo kashavuruga.yeye alizani mtoto akishaenda kule ndo kapotea sabab now kuna ushoga na mambo mengiMalizana na huyo Mzee wako labda anahisi hautarudi endapo utaipata hiyo hati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kumpa hela hakupi hao washenzi wamejaa kila ofisi wanataka hela toa hela wakupe huruma hata km ni haki yako watataka uilipieNida na kuzaliwa pia vyote vipo
Mwanzo alitaka pesa Mimi nikasema sina now namwambia pesa yeye anagoma kwahyo ni mwendo wa kukomoana.lkn naimani mungu yupo haki itatendeka tuMalizana nae tu si amekwambia umalizane nae kunjua roho mpe hela yake potea mawinga wapo kila sehemu Nchi hii wewe mpe chochote kitu pata passport yako potea kwani shilling ngap tukuchangie?
✍️
Huyo winga wa hapo uhamiaji amekwambia umpe kiasi gani cha Pesa ili akupe passport?yeye alizani mtoto akishaenda kule ndo kapotea sabab now kuna ushoga na mambo mengi
Kwa hio na Pesa kagoma hataki anataka kuchapwa makofi kwa njia ya Simu ? Ipigwe simu moja tu ndio akuelewe au sio ?Mwanzo alitaka pesa Mimi nikasema sina now namwambia pesa yeye anagoma kwahyo ni mwendo wa kukomoana.lkn naimani mungu yupo haki itatendeka tu
Mwanzo alisema M1 kama sina basi niende nianze mchakato wa kuomba uraiaHuyo winga wa hapo uhamiaji amekwambia umpe kiasi gani cha Pesa ili akupe passport?
✍️
Jamaa ananikomoa tu hakuna ukweli sabab sidhani kama kuna mwizi anajipeleka kituoni .kama Mimi ningejua kwetu ni Burundi sidhani kama ningekuwa nahangaika kwenda uhamiajiKwa hio na Pesa kagoma hataki anataka kuchapwa makofi kwa njia ya Simu ? Ipigwe simu moja tu ndio akuelewe au sio ?
✍️
Wewe usiache kwenda ipo siku atakunjua roho tuJamaa ananikomoa tu hakuna ukweli sabab sidhani kama kuna mwizi anajipeleka kituoni .kama Mimi ningejua kwetu ni Burundi sidhani kama ningekuwa nahangaika kwenda uhamiaji
Nida sawa, basi hama mkoa kaanze upya sehemu nyingine Mkuu.Nida na kuzaliwa pia vyote vipo