Ukiangalia kwenye system inaandika ujumbe gani?Niliambiwa nikachukue 24/5/2023
Pia kwenye system aliyeshikilia ni yule afisa aliyenihoji.sabab yeye anadai Mimi siyo raia kwahyo anampelekea taalfa pco na pco hawezi kufanya maamuzi sabab taalifa anapokea kwa yule jamaa wa mwanzoni
Haiwezekani mkuu sababu ukishaomba tayari upo kwenye mfumo nchi nzima.kwahyo itakuwa shida tenaNida sawa, basi hama mkoa kaanze upya sehemu nyingine Mkuu.
Cbeti kipi, kama ni chakuzaliwa basi jua cheti cha kuzaliwa sio kithibitisho kuwa wewe ni raia ya Tz.
Ushauri kafanye mchakato mkoa mwingine
Winga atapatikana?Malizana nae tu si amekwambia umalizane nae kunjua roho mpe hela yake potea mawinga wapo kila sehemu Nchi hii wewe mpe chochote kitu pata passport yako potea kwani shilling ngap tukuchangie?
✍️
Unataka pesa ndefu ndo tatizoBila kumpa hela hakupi hao washenzi wamejaa kila ofisi wanataka hela toa hela wakupe huruma hata km ni haki yako watataka uilipie
✍️
Wazazi wako warundi wakimbizi kutoka kigoma hadi morogoro kuna maswali mengi wewe ni mrundi?Wao wamezaliwa kigoma ila Mimi nimezaliwa Moro
Vipi ulishakwenda na kukutana na huyu mwanaJF aliyekutaka ufanye hivyo?Wao wamezaliwa kigoma ila Mimi nimezaliwa Moro
Bado hatujakutana yani hajanipigiaVipi ulishakwenda na kukutana na huyu mwanaJF aliyekutaka ufanye hivyo?