Mimi Bibi Yenu Mpambanaji
Senior Member
- Oct 6, 2024
- 147
- 303
Siyo kweliMlishe chakula Chenye pilipili kali
Okay DadaSiyo kweli
Huwa nawafungia ndani kuanzia saa 12/asubuhi hadi saa mbili usiku ndio wanatoka. Lakini ni waoga sana.1. Mlishe chakula Chenye pilipili kali.
2. Mfungie ndani muda mwingi isipokua muda ya ulinzi (wakati ninyi mmelala).
Kufanya mbwa wako wawe wakali inaweza kuwa changamoto, lakini kuna njia kadhaa za kuwasaidia kuwa na ujasiri zaidi na kuwa na tabia za ulinzi:Mfungie ndani asionane na watu muda wa mchana
naongezea1. Mlishe chakula Chenye pilipili kali.
2. Mfungie ndani muda mwingi isipokua muda ya ulinzi (wakati ninyi mmelala).