Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Wape bangi.
Walishe vyakula vyenye pilipili nyingi , wakate mkia.

Hizi ndizo njia za asili.
 
Mlishe pilipili
mvutishe bangi
mnyweshe sukari
na ukona hawi mkali chukua chuma muite vizuri aje kisha nyanyuachuma shusha kwa nguvu kichwani kwake kisha rudia mpaka uhakikishe hapumui yani bora umuue mana huyo sio mbwa ni chuma ulete tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siliba banda lao juu chini mbele na nyuma hakikisha bawamwoni mtu anaepita waishie kusikia sauti tuu na ndani ya banda wakiwq humo humo wafunge tena na chain shingoni iwe fupi yaani wapate shida fulani kuzunguka humo ndani yaani hakikisha wanaishi kama unawatesa fulani utakuja kunishukuru.
Na mbwa wa Polisi wanapitia mateso haya?
 
Mimi naona tatizo la mbwa wako sio ukali ila tatizo lao hawana ujasiri. Sasa angalia njia utazotumia usijetengeneza tatizo zaidi maana mbwa mkali asiyejihisi salama ni hatari zaidi anakuwa ni useless mbwa kichaa.

Kitendo cha wao kuogopa watu ni kumaanisha wana historia mbaya na watu inawezekana walishapitia mateso huko nyuma, je uliwafuga tangu wadogo?

Vipi kuhusu historia ya wazazi wao nao walikuwa waoga?
Asante sana
 
Siliba banda lao juu chini mbele na nyuma hakikisha bawamwoni mtu anaepita waishie kusikia sauti tuu na ndani ya banda wakiwq humo humo wafunge tena na chain shingoni iwe fupi yaani wapate shida fulani kuzunguka humo ndani yaani hakikisha wanaishi kama unawatesa fulani utakuja kunishukuru.
Mjukuu wangu, naomba uisome hii comment kwa umakini mkubwa, itakusaidia sana kwenye maisha ya ufugaji.

Back
Top Bottom