Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

Mtafute Mnyalukolo hapo karibu awale tu, atakushukuru sana
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
wakamate,,alafu kamata midomo yao kwa mkono yaani tight midomo yao,,,washa SKANKA,wapulizie puani kwa siku 7,utakuja kunizawadia konyagi!!
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Mbwakoko ndiye mwenye tabia ya kuufyata mkia, huyu si rahisi kumbadili labda ukiovaholi kichwa chake cha CCM na kumwekea cha Chadema ndipo watakuwa jasiri.
 
Hao wameshakuwa na tabia ya Mbuzi na Kondoo ...Hawakufai tena, wachinje tu, kula nyama - kisha nunua mbwa halisi, ambao kuanzia mwanzo, uwatunze vizuri, wawe wakali. wasiwe wanakutana na watu hovyo hovyo.
 
Kabla sija kushauri hao mbwaa ni breed gani kwanza pia mbwaa afundishwi ukali iyo ni natural kwa aina ya mbwaa sasa chagua ubaki na ao mbwaa wako wa mtaani kwenu au nikuuzie rottweiler pure bread acheki na kimau

Kabla sija kushauri hao mbwaa ni breed gani kwanza pia mbwaa afundishwi ukali iyo ni natural kwa aina ya mbwaa sasa chagua ubaki na ao mbwaa wako wa mtaani kwenu au nikuuzie rottweiler pure bread acheki na kima
Upo mkoa gani mkuu
 
Changanya bangi kwenye chakula chao watakuwa wakali
 
ina tegemea na breed ya hao mbwa, kuna mbwa wame poa tu, wengine mwizi akiingia kwako kazi yao kubweka tu ili wewe uamke, kuna wengine wao mwizi akiingia hawa bweki hovyo wana ngata tu mtu.. kufungia mbwa masaa yote, bangi, pili pili nk siyo tiba kabisa..Pia malezi,wali vyo kuwa wadogo wali lelewaje kwa mfano mbwa koko wengi wame kulia wakiwa wana pigwa so akikua ana kuwa ana ogopa watu.
*ushauri wangu tafuta wafundishaji mbwa,wata kusaidia na bongo wapo wengi tu.
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Kwenye chakula chao unawachanganyia na mjani kidogo
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Wavutishe bangi kama wale wapiganishaji majogoo.
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Simple wavutishe bange!
 
Back
Top Bottom