Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

Kabla sija kushauri hao mbwaa ni breed gani kwanza pia mbwaa afundishwi ukali iyo ni natural kwa aina ya mbwaa sasa chagua ubaki na ao mbwaa wako wa mtaani kwenu au nikuuzie rottweiler pure bread acheki na kima
Hii breed ni balaa
 
Tafuta german shepherd masikio lala most sio wakali ingawa wana gharama ya misosi sio unampa mataputapu wanavyakuka vyao special hata akija mgeni akifokewa muache huyu mgeni anatulia pia fungia bandani muda wote
 
Mkuu nombà utusàidie namna ya kufanya hii proces
Mkuu tulikuwa tunaweka nyingi/dondora kwenye chakula cha mbwa,aking'atwa ndo hapo anaanza kuwa makini hasa tukienda kuwinda wanachangamka, kuna watoto leo vijijini wakienda kuchunga hata madume ya ng'ombe wanawafanyia hivo ili wawe na morali ya kupiga,ni kumwekea tu kwenye chakula chake
 
yaani ufuge mbwa koko utegemee awe mkali.. ww umeona wapi mbwa anakuwa mkali ukubwani ukiona mbwa mkali jua alifundishwa ukali akiwa mdogo au ni asili yake amerithi ukali toka kwa mama yake..hawa wanaokushauri eti sijui uwape pilipili nyingi mara uwavutishe bangi ni uongo achana nao ni kuwatesa tu wanyama sio poa..au kama vp timua hao mbwa kisha tafuta wengine wakali achana na hawa wa kiswahili akikuona unainama tu anatoka nduki!
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Kwenye chakula chao wachanganyie na mjani halafu usiwafungulie mpaka usiku.. Yaani wao ni usiku tuu kutoka nje
 
Mi naona ukali ni asili ya mbwa tu.
Na kabila lake pia linachangia ukali na upokeaji mafunzo.

Pia kama mmemuacha azoee watu inaweza kuwa chanzo.
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Sasa tangu lini mbwa anayefugwa na Bibi akawa mkali na yeye si atakuwa na tabia za kibibi au nimekosea Mimi Bibi Yenu Mpambanaji
 
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.

Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Siliba banda lao juu chini mbele na nyuma hakikisha bawamwoni mtu anaepita waishie kusikia sauti tuu na ndani ya banda wakiwq humo humo wafunge tena na chain shingoni iwe fupi yaani wapate shida fulani kuzunguka humo ndani yaani hakikisha wanaishi kama unawatesa fulani utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom