macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni jamii gani ya mbwa. Watakuja watu hapa watakudanganya uwalishe pilipili au bangi au kila aina ya nadharia. Wadharau. Kuna jamii ya mbwa hawawi wakali. Chukuwa breed nzuri hao ni koko. Ukiwachanganya inaweza kusaidia.Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.
Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali