Hii breed ni balaaKabla sija kushauri hao mbwaa ni breed gani kwanza pia mbwaa afundishwi ukali iyo ni natural kwa aina ya mbwaa sasa chagua ubaki na ao mbwaa wako wa mtaani kwenu au nikuuzie rottweiler pure bread acheki na kima
Balaaa mnooHii breed ni balaa
Mkuu nombà utusàidie namna ya kufanya hii procesNyingi hata mi nimefanya zamani mbwa wa kuwinda swala ,wanakuwa wakali
Mkuu tulikuwa tunaweka nyingi/dondora kwenye chakula cha mbwa,aking'atwa ndo hapo anaanza kuwa makini hasa tukienda kuwinda wanachangamka, kuna watoto leo vijijini wakienda kuchunga hata madume ya ng'ombe wanawafanyia hivo ili wawe na morali ya kupiga,ni kumwekea tu kwenye chakula chakeMkuu nombà utusàidie namna ya kufanya hii proces
Akiwa ameweka mkia katikati ya mapajaWeka picha ya mbwa hapa
Kwenye chakula chao wachanganyie na mjani halafu usiwafungulie mpaka usiku.. Yaani wao ni usiku tuu kutoka njeNimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.
Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
unawakamataje hao nyigu?Nyingi hata mi nimefanya zamani mbwa wa kuwinda swala ,wanakuwa wakali
Wanakuwaga kwenye miti ya matunda kama maembe na migomba,wengine hata kwenye mabati au mbaounawakamataje hao nyigu?
Sasa tangu lini mbwa anayefugwa na Bibi akawa mkali na yeye si atakuwa na tabia za kibibi au nimekosea Mimi Bibi Yenu MpambanajiNimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.
Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
Lakini akiwazingua vibaya hao wasela cha moto atakionaWanakuwaga kwenye miti ya matunda kama maembe na migomba,wengine hata kwenye mabati au mbao
Siliba banda lao juu chini mbele na nyuma hakikisha bawamwoni mtu anaepita waishie kusikia sauti tuu na ndani ya banda wakiwq humo humo wafunge tena na chain shingoni iwe fupi yaani wapate shida fulani kuzunguka humo ndani yaani hakikisha wanaishi kama unawatesa fulani utakuja kunishukuru.Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha.
Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali