Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Ni roho chafu hiyo...!

Nina Mdogo wangu alifikia kununua Malaya mpaka wa Laki 5 kulala nae mpaka asubuhi.

Alianza na 20,000 akaona wana kasoro, akataka 50,000 akaona ana mapungufi, akafika mpaka laki 5....!

From no where akawa na hamu ya ajabu na Mwanamke, haipiti simu bila kulala na Mwanamke, Masha love ndo alikua anamuuzia Malaya..!

Alikua ana 20 millions cash Magetoni baada ya kuzikusanya kwa miaka 2 hivi, siku. Anahesabu hela alonayo, anakuta ni Millions 1.5...!

Hela yote kanunua Malaya, hafu akishagonga Goli moja tu, anataka mwanamke mwingine...!

Ndo akagundua sio yeye, akaanza kutafuta msaada.
Dogo,ebu fikiria hili;
Sikio ni moja ya kiungo ktk mwili wa binadamu.
Pamoja na kuwa mwanamke pia,hivyo naye ana sikio. Uke ni kiungo kimoja wapo pia ktk mwili wa mwanamke,hakina maajabu yoyote kulizidi sikio isipokuwa kila kiungo kati ya uke na sikio kina majukumu yake na yana fahamika.

Nataka kusema kwamba chukulia uke kama unavyolichukulia sikio.
Kufichwa kwa uke ni km watu maarufu wanavyo jificha ili waongeze hamu ya wanaojiita mashaabiki wao kuwaona kwa kulipia.
 
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
Kama umefika wakati wa kutaka kuoa amua kuacha.
Lakini kama wakati wa kuoa bado haujafika, nakushauri endelea kununua., kwanza hamna mizungushano mingi, unapiga unamaliza haja zako unatembea.

Hawa madada wa siku hizi unapoamua kuwa na mpenzi permanent na akafahamu kama unampenda wanaanza kazi ya kuumiza, chenga na vizinga vingi, yaani nao wapo after money kama malaya tu, hawana utofauti siku hizi.
 
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
Rabbon Yesu Anakuja
 
Us

hau

Acha ratiba za kwenda hzo sehemu au punguza taratibutaratibu. Kisha waonee kama watu wa kawaida tu kingne ukienda hzo sehm kam n bar agza maji au soda syo vlevi maana
Kun formula inasema ukishalewa Kila muhudumu unamwona mrembo na unamtamani, na kati muda unaingia ulimwona wa kawaida
 
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
kumbuka unatumia nguvu, muda na pesa zako.., ambapo, nguvu unayoipoteza ingekusaidia kuzalisha watoto na mali zaidi..
lakini pia muda ungeutumia kupumzika na kubuni mambo mengine ya malezi n.k. Lakini pia pesa unazofuja na malaya ungeweka akiba au kutunza afya yako kwa kula vizuri, kuishi na kulala pazuri, kuvaa vizuri n.k

Fikiria kwa bahati mbaya au makusudi ukakwaa gono, kaswende, uti au ngoma majutro yake ni makubwa sana maisha yako yote...

kumbuka vichocheo vya kufanya tendo na nguvu za mwili hupungua, na tena sasa hivi tatizo la nguvu za kijinsia limeshika kasi, unakuja kuoa wakati nguvu zote umemaliza kwa malaya town, na mkeo ndio ana moto anatamani umpige paipu na anahitaji mtoto, akati wewe mtalimbo ni legevu wala network haishiki, huwezi toboa, utapigiwa tu mkeo....

be careful aise,
amua kuoa sasa na kama sio sasa ni sasa hivi, ili uondokane na huo utumwa na uchafu hatari sana kwa afya na maisha yako...
 
Back
Top Bottom