Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Chai hii msenge wewe
Ni true, sio Chai, ni Mdogo wangu kabisa, ananionyesha picha zote za Malaya alotembea nao...!

Mimi nilikua hata sijui kwamba Masha huwa anawauza Malaya, kanionyesha picha, kanionyesha chatting zake na Masha akitumiwa picha za Malaya ili achague....!

Na Masha ndo kachangia kum'malizia pesa, coz leo angelala na mwanamke, then atampigia Masha kulalamika kuwa Mwanamke aliyemletea hajui kukatika, Masha angemwambia sasa Wewe ndo umetaka huyo wa 20,000 ndo nikutumie wanaojua kukatika, ila wanaanza na 30,000, zinatumwa picha, dogo anachagua, Chuma inakuja, anaipelekea Moto, anagundua Demu mwenyewe Maziwa yalikua yamelala sana, atalalamika kwa Masha, them ataambiwa kama unataka Chichu Konzi, ninao ila wanaanzia 50,000....!

Ilikwenda hivyo mpaka ikafika Jiwe 5 Mkuu......!
 
Ok vipi kwa sasa anaendeleaje?
Maombi yalimsaidia, yeye ni Mkatoriki, so alisali Novena ya siku 15 mixer kugunga, na kwenda Kanisani...akimwambia Mungu amtoe kwenye hilo janga!

Siku anamaliza Kufunga, zile Nyege zote zikakata, kwa hasira, akagawa, na kuchoma moto vyote vilivyohusika na Zinaa kwa. Ukaribu, Kitanda, Chupi, Mashuka, Taulo n.k...

Sasa hivi yupo poa....!
 
Ok pmj san
 
Kama umefika wakati wa kutaka kuoa amua kuacha.
Lakini kama wakati wa kuoa bado haujafika, nakushauri endelea kununua., kwanza hamna mizungushano mingi, unapiga unamaliza haja zako unatembea.

Hawa madada wa siku hizi unapoamua kuwa na mpenzi permanent na akafahamu kama unampenda wanaanza kazi ya kuumiza, chenga na vizinga vingi, yaani nao wapo after money kama malaya tu, hawana utofauti siku hizi.
Haujamuelewa mtoa Mada au hali kama hiyo ikukuta utaelewa zaid
Motoa Mada pia kama unatazama picha zangono uache
 
Ni roho chafu hiyo...!

Nina Mdogo wangu alifikia kununua Malaya mpaka wa Laki 5 kulala nae mpaka asubuhi.

Alianza na 20,000 akaona wana kasoro, akataka 50,000 akaona ana mapungufi, akafika mpaka laki 5....!

From no where akawa na hamu ya ajabu na Mwanamke, haipiti simu bila kulala na Mwanamke, Masha love ndo alikua anamuuzia Malaya..!

Alikua ana 20 millions cash Magetoni baada ya kuzikusanya kwa miaka 2 hivi, siku. Anahesabu hela alonayo, anakuta ni Millions 1.5...!

Hela yote kanunua Malaya, hafu akishagonga Goli moja tu, anataka mwanamke mwingine...!

Ndo akagundua sio yeye, akaanza kutafuta msaada.
Roho Chafu Kivipi ?

Can you please elaborate more
 
Akisoma Biblia ataacha Tabia ya Kununua Malaya???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
Una umri gani?
 
Lazima ukubali kwanza wewe ni malaya bila hivyo utakuwa unasingizia na kulalama. Hao unao nunua ni malaya kama wewe tu tofauti ni kwamba wewe unatoa pesa na wenyewe wanapokea. Bila kujitambuwa utakuwa unajidanfanya. Hivyo kwanza amua kwa imani yako kuacha umalaya.
 
Back
Top Bottom