Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Ni roho chafu hiyo...!

Nina Mdogo wangu alifikia kununua Malaya mpaka wa Laki 5 kulala nae mpaka asubuhi.

Alianza na 20,000 akaona wana kasoro, akataka 50,000 akaona ana mapungufi, akafika mpaka laki 5....!

From no where akawa na hamu ya ajabu na Mwanamke, haipiti simu bila kulala na Mwanamke, Masha love ndo alikua anamuuzia Malaya..!

Alikua ana 20 millions cash Magetoni baada ya kuzikusanya kwa miaka 2 hivi, siku. Anahesabu hela alonayo, anakuta ni Millions 1.5...!

Hela yote kanunua Malaya, hafu akishagonga Goli moja tu, anataka mwanamke mwingine...!

Ndo akagundua sio yeye, akaanza kutafuta msaada.
Kwenye million 20 anakuja kutafta msaada akiwa amebakiwa na million 1.5 huo msaada wa kaz gan sas ? 😂
 
Jus nilipi g a Malaya mmbovu had asbh nimemtukana kwa msg na matus mazito

Sijui nilimuonaje yule manzi ile mm nais siku hyo nilikula pepo au jini lao duh

Mwanmke mpumbavu Sana yule nimeamkaaa nikaoga maji ndooo mbili kubwa saaa kumi usk

Nilijuta Hadi leo Sina hamu na demu wa bar
Ebwana wee ulikula Paka' la baa?
 
Mrudie Mungu kikweli kweli, sijui imani yako ila fanya toba ya kweli kwanza, fanya ibada kwa mfululizo wa mfumo wa dini unayoiamini, kama haujaoa fanya mpango uoe, hama mji unaoushi kwa mda kama utaweza kama hauwezi, ama hicho kitongoji mfano kama unakaa chalinze amia mbele yake kidogo tofauti na mitaa inayokujua yaani watu wanapokufahamu, toa sadaka, jijengee taratibu za kutoa sadaka tena sio sadaka za kanisani/msikitini yaani zile za kukuta watu njiani wanashida na kuwa saidia alaf muelekee Mungu mueleze mlilie akutoe kwenye janga hilo, Mungu mtukufu atakutoa haraka iwezekanavyo, hatuna ujanja sisi binaadamu bila ya Kumuelekea Mungu mtukufu
 
Nyie mnaoshauri aoe msisahau kumwambia tu akishaoa sio kwamba atajitombea kila siku tu kama anavyofanya huko kwa malaya. Huku kuna kupigwa vikumbo na misonyo tena siku nyingine ambazo unakuwa na ugumu balaa unanyimwa😂.

Malaya atawakumbuka sanaaaa.
 
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
Fanya kama hivi! Umepotea njia hivi... Umeingia pale kwa William Rutto...

Nakupa hii escort...

Hapa nakwepa Jf sensorship tu, wala hauhitaji VPN kuingia hapa, ni free hapa (nairobidivas . net )

Humo zinauzwa papa za kiwango kwelikweli!

Kwa wenzetu ni biashara huria! Imehalalishwa kabisa! Na serikali inachukua Kodi! Nashangaa sisi tumezubaa!... Hatuchangamkii fursa!
 
Attachments

  • Screenshot_20240327-060213.png
    Screenshot_20240327-060213.png
    270.6 KB · Views: 12
Ni roho chafu hiyo...!

Nina Mdogo wangu alifikia kununua Malaya mpaka wa Laki 5 kulala nae mpaka asubuhi.

Alianza na 20,000 akaona wana kasoro, akataka 50,000 akaona ana mapungufi, akafika mpaka laki 5....!

From no where akawa na hamu ya ajabu na Mwanamke, haipiti simu bila kulala na Mwanamke, Masha love ndo alikua anamuuzia Malaya..!

Alikua ana 20 millions cash Magetoni baada ya kuzikusanya kwa miaka 2 hivi, siku. Anahesabu hela alonayo, anakuta ni Millions 1.5...!

Hela yote kanunua Malaya, hafu akishagonga Goli moja tu, anataka mwanamke mwingine...!

Ndo akagundua sio yeye, akaanza kutafuta msaada.
Hizo 20m zilikua sio za halali.
 
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
1. Amua kwa dhati ya moyo wako kuacha
2. Badili mtizamo wako kuhusu maziwa na misambwanda. Kwanza inakupatia nini wakati wa kumla. Ni uamuzi tu uliouhifadhi kichwani kwako na unaweza kuubadili au kuufuta.
3. Kuwa na mwanamke mmoja achana na wa kuchangia. Unadhani Mungu kukataza zinaa ni kwa faida yake au yako? Kumbuka unalalia kifua na kuingiza uume sehem ambayo dakika chache zilizopita imetoka kuingiliwa na wanaume kadhaa wakiwa na mambo yao ya kiroho ambayo ww pia unayabeba. Shahawa zina nguvu kibwa kiroho.
4. Isikilize sauti inayokuambia ACHA na ufanye hivo. Huyo ni Mungu kupitia Roho wake anakuvuta utoke uachane na matendo ya mwili. Ikimbie Zinaa, boresha uchumi wako na afya pia. Kuwa na mmoja alietulia au mwenye uelekeo wa kutulia maana hawa viumbe wanajua nini mengine waliongea na shetani, sisi tunajua habari ya tunda pekee
 
Naunga mkono hoja, Ila kipenzi wengine unakuta ni pepo la ngono limemvaa yaan yeye ni wa kununua Malaya mpka yatakapomkuta makubwa ndo inakuwa basi tena
Mimi nimenunua malaya tangu 2015 mpaka leo 2024 nadunda Sina hiv Wala std yoyote, ambiance sinza, keko Dodoma, shivaz arusha, malindi moshi, kote nimeshavuruga

Kikubwa mwanaume utumie condom kwa usahihi totoadela Mzee wa kupambania @Bilionaire kekeman
 
Tafuta mnyonge mwenzako weka ndani
Unamtafutia tu “huyo mnyonge” akateseke huko ndani kwa dharau na mistreatments.

Sababu at all tatizo la huyu mleta mada si K, ingekuwa ni K angechagua K yake moja inayojiuza au mbili au anabadili. Tatizo lake ni yeye mwenyewe.

Tusipende kushauri watu wafuatao waoe/waolewe kama mbinu ya kuepuka uovu wanaoufanya, maana mateso yataenda kuwageukiwa wenza wao, watu hao ni 1.Malaya waliopitiliza 2.wapweke, 3. addicts.

Kama unataka kukutana na hell on earth oa/olewa na watu wenye chembechembe za mambo niliyoyataja hapo juu.
 
Back
Top Bottom