kumbuka unatumia nguvu, muda na pesa zako.., ambapo, nguvu unayoipoteza ingekusaidia kuzalisha watoto na mali zaidi..
lakini pia muda ungeutumia kupumzika na kubuni mambo mengine ya malezi n.k. Lakini pia pesa unazofuja na malaya ungeweka akiba au kutunza afya yako kwa kula vizuri, kuishi na kulala pazuri, kuvaa vizuri n.k
Fikiria kwa bahati mbaya au makusudi ukakwaa gono, kaswende, uti au ngoma majutro yake ni makubwa sana maisha yako yote...
kumbuka vichocheo vya kufanya tendo na nguvu za mwili hupungua, na tena sasa hivi tatizo la nguvu za kijinsia limeshika kasi, unakuja kuoa wakati nguvu zote umemaliza kwa malaya town, na mkeo ndio ana moto anatamani umpige paipu na anahitaji mtoto, akati wewe mtalimbo ni legevu wala network haishiki, huwezi toboa, utapigiwa tu mkeo....
be careful aise,
amua kuoa sasa na kama sio sasa ni sasa hivi, ili uondokane na huo utumwa na uchafu hatari sana kwa afya na maisha yako...