Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?
Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia
Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
Hii ni hatua nzuri kwamba umegundua hiki ni kifungo
Ukisoma btn lines ,umeshajigundua umeshakufa KIROHO NA KIUCHUMI, na Ukipuuzia hayo majibu ya hiyo tathmini uliyojifanyia mwenyewe,kitakachofuata ni KIFO CHA KIMWILI.
ufanyeje sasa?
Tafuta kanisa lolote linaloamini na kuhubiri habari za wokovu(Hapa tafuta kanisa ambalo ni taasisi,siyo haya ya watu binafsi,maana ya aina hii kuna pia matepeli ndani yake ambaye kwa mtu mchanga huwezi tofautisha).Hakikisha ni kanisa lenye ibada za kila siku au jioni au asubuhi,hudhuria ibada hizi kila siku bila kuacha.pia nenda kwenye mikutano ya hadhara ya injili.Wakitoa nafasi ya kupita mbele ili umpokee Yesu pita haraka ujisalimishe kwa Yesu mbele ya watu ili uwe ushuhuda kwamba umemkiri Yesu mbele za watu.Hii iende sambamba na kubadilisha aina ya mtindo wa maisha yako na aina ya marafiki.Sababu UMESEMA UKIONA MAUNGO YA MWANAMKE YANAAMSHA HISIA ZA NGONO,na wenyewe wameshajua
Pia kama hujao tafuta mke uoe
Kwa nini?
Sababu ulipofikia unahitaji serious spritual transformation ya haraka
Uzuri ni kwamba hakuna lisilowezekana kwa Mungu aliye hai.Imenisaidia sana hiyo.Mimi ni mfungwa mwenzio ambaye kwa NEEMA YA MUNGU Yesu alinitorosha toka jera ya hivyo cha miaka kadhaa iliyopita.
Utashangaa maendeleo yako kiuchumi yatavyokuwa ya haraka.
Siyo kazi nyepesi kufanya maamuzi ya hivyo isipokuwa uchaguzi ni wako, uache ili ulinde nafasi yako au uendelee ili uangamie( Mith 6:32).
Mungu atakusaidia!