Nilimsaidia kumpa Ushauri, alikua na Majini Mahaba, hafu alikua hataki kukubari uwepo wao, so wakawa wanam push kutafuta Malaya ili awe broke....!Kwenye million 20 anakuja kutafta msaada akiwa amebakiwa na million 1.5 huo msaada wa kaz gan sas ? π
Ok vipi kwa sasa anaendeleaje?Nilimsaidia kumpa Ushauri, alikua na Majini Mahaba, hafu alikua hataki kukubari uwepo wao, so wakawa wanam push kutafuta Malaya ili awe broke....!
Ni true, sio Chai, ni Mdogo wangu kabisa, ananionyesha picha zote za Malaya alotembea nao...!Chai hii msenge wewe
Maombi yalimsaidia, yeye ni Mkatoriki, so alisali Novena ya siku 15 mixer kugunga, na kwenda Kanisani...akimwambia Mungu amtoe kwenye hilo janga!Ok vipi kwa sasa anaendeleaje?
Masha sio type ya wanawake anaowapenda, anataka Visu.Duh..
Dunia ina mambo ya ajabu sana. Badala ya Masha Love kumuuzia malaya si bora angemtafuna yeye mwenyewe labda angeokoa baadhi ya mpunga?
Ok pmj sanMaombi yalimsaidia, yeye ni Mkatoriki, so alisali Novena ya siku 15 mixer kugunga, na kwenda Kanisani...akimwambia Mungu amtoe kwenye hilo janga!
Siku anamaliza Kufunga, zile Nyege zote zikakata, kwa hasira, akagawa, na kuchoma moto vyote vilivyohusika na Zinaa kwa. Ukaribu, Kitanda, Chupi, Mashuka, Taulo n.k...
Sasa hivi yupo poa....!
Haujamuelewa mtoa Mada au hali kama hiyo ikukuta utaelewa zaidKama umefika wakati wa kutaka kuoa amua kuacha.
Lakini kama wakati wa kuoa bado haujafika, nakushauri endelea kununua., kwanza hamna mizungushano mingi, unapiga unamaliza haja zako unatembea.
Hawa madada wa siku hizi unapoamua kuwa na mpenzi permanent na akafahamu kama unampenda wanaanza kazi ya kuumiza, chenga na vizinga vingi, yaani nao wapo after money kama malaya tu, hawana utofauti siku hizi.
Maskini hana kiapo dogoSijawah kununua wala kuwaz kufanya hivyo.
Roho Chafu Kivipi ?Ni roho chafu hiyo...!
Nina Mdogo wangu alifikia kununua Malaya mpaka wa Laki 5 kulala nae mpaka asubuhi.
Alianza na 20,000 akaona wana kasoro, akataka 50,000 akaona ana mapungufi, akafika mpaka laki 5....!
From no where akawa na hamu ya ajabu na Mwanamke, haipiti simu bila kulala na Mwanamke, Masha love ndo alikua anamuuzia Malaya..!
Alikua ana 20 millions cash Magetoni baada ya kuzikusanya kwa miaka 2 hivi, siku. Anahesabu hela alonayo, anakuta ni Millions 1.5...!
Hela yote kanunua Malaya, hafu akishagonga Goli moja tu, anataka mwanamke mwingine...!
Ndo akagundua sio yeye, akaanza kutafuta msaada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akisoma Biblia ataacha Tabia ya Kununua Malaya???
Una umri gani?Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?
Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia
Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?π«π«
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?
Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia
Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?π«π«
Hata mimi nimeshangaa, mimi nimeshasoma biblia yote, na Quran, lakini sijaacha.Akisoma Biblia ataacha Tabia ya Kununua Malaya???