Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Nifanyeje ili niache kununua malaya?

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda?

Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka na pia nimeshuka kiuchumi yaani wakuu mimi nikiona maziwa ya mwanamke tu daaah, misambwanda ndio usiseme wakuu, nateseka na kuumia

Wakuu nifanyeje? Ili niachane na hii hali?🫔🫔
 
Ni roho chafu hiyo...!

Nina Mdogo wangu alifikia kununua Malaya mpaka wa Laki 5 kulala nae mpaka asubuhi.

Alianza na 20,000 akaona wana kasoro, akataka 50,000 akaona ana mapungufi, akafika mpaka laki 5....!

From no where akawa na hamu ya ajabu na Mwanamke, haipiti simu bila kulala na Mwanamke, Masha love ndo alikua anamuuzia Malaya..!

Alikua ana 20 millions cash Magetoni baada ya kuzikusanya kwa miaka 2 hivi, siku. Anahesabu hela alonayo, anakuta ni Millions 1.5...!

Hela yote kanunua Malaya, hafu akishagonga Goli moja tu, anataka mwanamke mwingine...!

Ndo akagundua sio yeye, akaanza kutafuta msaada.
 
download (1).jpeg
 
Acha mara moja
Malaya wanakuachia nuksi
Oa mke halali piga kwa uhalali

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu watatu tuuu ndo kuna uhalali kwao:
1. Mfungwa gerezani
2. Mtoto tumboni
3. Marehemu kaburini.

Anaweza akaacha wanaojiuza viwanjani, akachukua profeshono wa mtandaoni. Lile dude,halina uhalali wala uhalamu
 
  • Kiimani wanasema ni pepo
  • Kiuchumi wanasema kwa sababu una hela ya kuwalipa
  • Kiubinadamu wanasema una nguvu za kiume na hisia kali
  • Kiuwanaume wanasema ni kawaida kutamani pisi kali kwa mwanaume rijali

Sasa wewe unataka nini? :Doits:
 
Back
Top Bottom