Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forums,

Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?

Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.

 
Wewe ni wa kiume au wa kike?
 
Manula katoka
 
Kazi za mikono pia huchangia kama vile ufundi kujenga nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…