Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forums,

Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?

Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.

mikono.jpg
 
Habari wanajamii forums
Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu
Wewe ni wa kiume au wa kike?
 
Habari wanajamii forums,

Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?

Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.

View attachment 2642596
Manula katoka
 
Kazi za mikono pia huchangia kama vile ufundi kujenga nk.
 
Back
Top Bottom