Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Habari za asubuhi,

Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee..

So ili niache Kwa amani Nina wazo la kwenda check up nipimwe nijigundue kama Nina kansa au tatizo la figo na Ninatumia NHIF sasa najiuliza kweli daktari ukimuelezea hivo tu history ya lifestyle yako atakuandikia kweli vipimo vyote au nijifanye Nina dalili gani ili nichunguzwe kiundani na vipimo vyake ni huwa vya aina gani mfano kuchunguza ini na magonjwa yote ya figo.

Ama niache tu kujipa pressure ya Bure ni assume Sina tatizo nisonge mbele na maisha.
 
Jambo la msingi ni uache kabisa matumizi ya pombe, kucheck ni vizuri ila umejiandaaje na majibu in case yakiwa si mazuri nadhani kwa sasa jifanye kama hujali hivi endelea kuona hali yako baada ya kuacha pombe inakuaje mwili unarespond vipi

Labda kama ulishaanza kuona shida yoyote kwenye mwili wako iliyokupa shaka kuwa hii huenda ni sababu ya maji ndiyo ucheck
 
Aliwazalo mtu ndo linalomtokea
We ukiwaza maradhi nakuhakikiahia utayapata
We kapime hizo figo na utajikuta zinaumwa ndo utajua,
We furahia maisha mitihani ya maradhi ikija utapambana lakini uzungu wa kupima pima itaku cost
Me siwezi kuwa mzima eti nikachek afya
 
Back
Top Bottom