ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Habari za asubuhi,
Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee..
So ili niache Kwa amani Nina wazo la kwenda check up nipimwe nijigundue kama Nina kansa au tatizo la figo na Ninatumia NHIF sasa najiuliza kweli daktari ukimuelezea hivo tu history ya lifestyle yako atakuandikia kweli vipimo vyote au nijifanye Nina dalili gani ili nichunguzwe kiundani na vipimo vyake ni huwa vya aina gani mfano kuchunguza ini na magonjwa yote ya figo.
Ama niache tu kujipa pressure ya Bure ni assume Sina tatizo nisonge mbele na maisha.